Bahasha zisizo eleweka zina nini ndani zagawiwa mda huu kwa wabunge wote

Bahasha nzito zimegawiwa kwa wabunge wote mda huu mjadala muhimu kwa nchi ukiendelea.

....humu ndani tumegawiwa bahasha brother nzito hii issue aisee siamini kama tutatoboa!

Chanzo.
Kwa wabunge hawa wa hovyo usitarajie Chochote
 
Mbona mimi nafuatilia tangu kikao kimeanza sijaona hizo bahasha?? Unapata faida gani kusema uongo?
Ndio akili zao zimefikia hapo. Wanadanganyana na kujazana ujinga.
 
Nimesikiliza kidogo ikabidi nizime TV! Yaani limtu badala ya kujadili mkataba( mapungufu na mema) yaliyomo kwenye mkataba linaanza kusifia mwanzo mwisho. Dah inachosha jamn
 
Bahasha nzito zimegawiwa kwa wabunge wote mda huu mjadala muhimu kwa nchi ukiendelea.

....humu ndani tumegawiwa bahasha brother nzito hii issue aisee siamini kama tutatoboa!

Chanzo.
Mwarabu Anachukua Bandari Anaweka Waaa
DP WORLD Tayari

Makofi Mengi Sana Ccm Ni Ile Ile
 
Ingekuwa rushwa wangeitwa toka jana jengo la white house makao makuu. Sio hadharani hivyo. Btw kwanini wagawiane mabarua kwenye kila kitu? Hawana email watumiwe softcopies kusave gharama za stationaries?
 
Bahasha nzito zimegawiwa kwa wabunge wote mda huu mjadala muhimu kwa nchi ukiendelea.

....humu ndani tumegawiwa bahasha brother nzito hii issue aisee siamini kama tutatoboa!

Chanzo.
Bila shaka itakuwa mnofu wa guu la fisi mnono😂😂😂😂
 
Bahasha nzito zimegawiwa kwa wabunge wote mda huu mjadala muhimu kwa nchi ukiendelea.

....humu ndani tumegawiwa bahasha brother nzito hii issue aisee siamini kama tutatoboa!

Chanzo.
Acha ujinga na uzushi wewe dunia ya leo hakuna mtu wa kugawa rushwa kijinga hivyo wakati mwingine muwe mnatafakari kabla ya kuandika
Jinga sana
 
Reactions: Tui
Bahasha nzito zimegawiwa kwa wabunge wote mda huu mjadala muhimu kwa nchi ukiendelea.

....humu ndani tumegawiwa bahasha brother nzito hii issue aisee siamini kama tutatoboa!

Chanzo.
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…