makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
TID ni chenga saana 😂🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅 😅 😅Hii ni chance kwake kupiga pesa kupitia hako ka upepo na baada ya hilo neno uhai wake katika sanaa siuoni tena,
Umezaliwa mwaka gani ?Habari wakuu,
Hii mitandao imekuwa ikiwapa watu umaarufu na kisha kuwapoteza, Mara nyingi mtu anaeibuka kuwa Maarufu mtandaoni huwa hategemei kuwa kituko chake kitampa umaarufu bali hutokea tu Gafla kuvuma na kisha kupotea,
Kumekuwa na ibuko kubwa sana la baadhi ya misemo ya watu kwende Viral na kuwapa watu umaarufu kwa mda mfupi na kisha kupotea, Kama mnavyojua mtaji wa pesa ni watu watu wakishakufaham na huu ulimwengu wa Digital unajipatia na pesa nzuri japo kilichotokea bila kutarajia hupotea bila kutarajiwa hivyohivyo.
Mfano kuna vijana Kenya walianzaga kama wanaharakati wafuasi wa Raila Omolo Odinga,
Akina Omoshi, Nuru Okanga, na Onyii,
Na moja ya harakat zao OMOSHI NA ONYII Walitumia kamsemo ka "Wataandamana kutoka mchana na mwenzje ONYII, kampa Back up ya "WENGINE TUNAANZA USIKU, TENA USIKU WA MANANE HADI ASUBUHI,
kamsemo haka kalilipuka na kutrend sana mitandaoni huwez amini hadi sasa vijana hao saiz ni watu maarufu kenya na wameanza kulamba madeal ya Ubalozi wa makampuni mbalimbali, japo umaarufu wao kwa sasa unaelekea kufifia baada ya kujiingiza katika utengenezaji wa Maudhui ile hali umaarufu walioupata haukuwa matika malengo yao.
Kwa sasa ni zam ya TOP IN DAR, Mnyama TID na kingereza chake jamaa kabahatika neno lake kuburst na kwenda viral, saizi mitandaoni challenge ni neno lake "WHY BETWEEN MY INTERVIEW YOUR PASSING ARROUND....IHATE YOU.[emoji16]
Hii ni chance kwake kupiga pesa kupitia hako ka upepo na baada ya hilo neno uhai wake katika sanaa siuoni tena,
Mkumbusheni kuwa chance never come twice. Apepee na huo upepo maana kesho nguvu yake katka sanaa inayeyuka.
Naamini kuna watu ndani ya E Africa walikuwa hawamjui TID ila kupitja hili neno lake lililoburst amejulikana hadi Kenya na kwingineko, Nashauri promoters Invest kwa TID kwa mda mfupi mpeni deal, Mpeni tower ya shows Africa kwa sasa jamaa ana nguvu sana mtaani na baada ya hapo achaneni nae,
So ushari kwake atumie huu upepo ku make something greatest kwa maisha yake.
mleta mada atakuwa ni katoto ka elfu 2005 huko.Thank you, bora nimeiona hii comment maana nilikua nasoma uzi namshangaa mtoa mada, maelezo mareeeeefu kumbe hamjui TID Mnyama na misemo yake
Ndo shida ya kumiliki smartphone uzeeni
labda ya buza 🤣 🤣Neflix ya nchi gani mkuu? Nimesearch sijaona, kama hutojali share link niangalie na mimi.
Kokoto ni kuweka super black yeye ndo muanzilishi kweli."nipige kokoto niwanyooshe watoto wadogo"
Kokoto ni style ya nywele. Hapo alikuwa ananyolewa saloon ndio akasema hivyo
Na huo ni msemo wa T.I.D au?How? Are you sure man?
Mi sijui mkuuNa huo ni msemo wa T.I.D au?
Hap yy mwenyewe ni ngumu ila promoters wanaweza kutumia huu upepo kumpa shows mbal mbaliAnatakiwa achukue hatua gani ili upepo huu umpatie kipato?
Itakua netlfix ya chadema 😂😂Neflix ya nchi gani mkuu? Nimesearch sijaona, kama hutojali share link niangalie na mimi.
🤣🤣 jamaa kaingia mitini.Itakua netlfix ya chadema 😂😂