Bahati haijirudii mara mbili, TID huu ndo muda wako

Bahati haijirudii mara mbili, TID huu ndo muda wako

Huwezi kumfundisha mbwa mzee kubweka

Tid ni top talent, genuine and smart

Amefanya kila kitu kwenye music

Sometimes it's about lucky and dicpline
 
TID mnyamaaa umechelewa kumjua m interview zake sikosagi n vunja mbavu sema sasa ivi kaongeza watuu.
 
Watu wenye akili nyingi na vipawa vikubwa wana hatari kubwa ya kuharibikiwa maisha kama hawapati proper treatment mfano Chid benz, Ngwair, TID, Feroouz, Nuruel, Godzilla duniani huko tuna mfano wa Whitney Houston
Ina maana wasio na akili nyingi wala vipaji wenyewe wasipopata proper treatment wenyewe ‘shega’ tu huwa hawakabiliwi na hatari ya kuharibikiwa au?
 
Back
Top Bottom