Bahati haijirudii mara mbili, TID huu ndo muda wako

Tatizo sijui akili ni nini... Lakini TID ana akili sana... Ila kama alivyosema Lucha tatizo ni mauzauza yake tu.

Nchi hii waendeleza vipaji hawapo wamejaa matapeli washamba tu.
Watu wenye akili nyingi na vipawa vikubwa wana hatari kubwa ya kuharibikiwa maisha kama hawapati proper treatment mfano Chid benz, Ngwair, TID, Feroouz, Nuruel, Godzilla duniani huko tuna mfano wa Whitney Houston
 
daaaaah ila naona huyo jamaa na mwenzie yule mlalamishi kama vile uzee una wanyemelea
 
Nimeshtuka uliposema TID alikuwa hajulikani East Afrika[emoji848]

Mitandao ina faida na athari zake, athari mojawapo ni mtu yeyote kujiandikia chochote anachojisikia. Hii inapelekea leo kwenye muziki tuna vijana waliozaliwa 2000's ndio wanachambua masuala mbalimbali.

Huwezi ukaniambia TID hakufahamika East Afrika halafu nikaamini mwandishi huyu ni mtu mzima anayeufahamu muziki vizuri
 
TID hazimo tu... 🤣🤣 ni chenga sana yule jamaa
Muhuni tu ,tumekaa wote yuko kwao sidhani km kahama.
Tunakula bia Atlanta Bar mpk kunakucha
Mengine sisemi
Kumjua tunajuana sana,ila
nilipohamia kitaa tukawa washkaji
Tid mtu poa tu,sijawai kumuona anapigana au kugombana namtu.
Kaka yake Hafidh sijui km yupo walikua wote mda wote.
Ila wote walikua watu wa amani sana.
 
2019 alipigana akapigwa vibaya, unataka kutudanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…