Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Family ya Mdee ina Hisa Chadema Ndio sababu ya Viongozi wakuu kufika msibani πΌ
HayaFamily ya Mdee ina Hisa Chadema Ndio sababu ya Viongozi wakuu kufika msibani πΌ
ππWacha siasa msibani we mzee Mgaya
Ni majina tu mkuu..Najiuliza ilikuaje kuaje akawa HALIMA wakati mama ake ni mkatoliki safi tu au Halima ni jina tu?
Oooh ndo mana nmeshangaa kumbe majina tu...Haya apumzike kwa amani Bi TheresiaNi majina tu mkuu..
"Wapeni Watoto wenu majina mazuri myapendayo nyinyi"Wanazika hapa pumuani au huko vudee milimani
Wamemtapeli nani?Chadema ni matapeli
Pole Halima wangu ππ mdogo wangu
Mkuu hapa moshi vijijin sehemu akina halima wamejenga panaitwa PUMUANI"Wapeni Watoto wenu majina mazuri myapendayo nyinyi"
HayaMkuu hapa moshi vijijin sehemu akina halima wamejenga panaitwa PUMUANI
Ahamie mara ngapi?Akishindwa kuhamia ccm huyu dada basi apelekwe milembe coz picha zinaongea