Bahati ilioje: Msiba wa Raia uliogeuka kuwa Msiba wa Kitaifa, Tunaishukuru Serikali

Bahati ilioje: Msiba wa Raia uliogeuka kuwa Msiba wa Kitaifa, Tunaishukuru Serikali

Najiuliza ilikuaje kuaje akawa HALIMA wakati mama ake ni mkatoliki safi tu au Halima ni jina tu?
Hakuna uhusiano wa moja kwa moja katiya dini/ Imani na jina.
Jina ni utambulisho na Imani nisuala la mtazamo au itikadi. Ondoa fikra mgando
 
Kiislam majina yake yana maana zake.

Halima alikuwa ni mama mlezi wa Mtume Muhammad Sala Allahu alayhi Wasalaam.

Pia linamaanisha ",mpole, mstahamilivu".

Inawezekana mama yake Mdee alikuwa na shoga yuake Muislam au pia inawezekana Baba'ke ni Muislam. Kina "Mdee" ni watu wa Tanga kiasili.

Kama Halima ni mtoto wa singo maza, jibu lipo wazi.
Nadhani umefananisha Na Mdoe,Mdoe ndio watu wa Tanga.
 
Back
Top Bottom