Bahati ilioje: Msiba wa Raia uliogeuka kuwa Msiba wa Kitaifa, Tunaishukuru Serikali

Bahati ilioje: Msiba wa Raia uliogeuka kuwa Msiba wa Kitaifa, Tunaishukuru Serikali

Viongozi kadhaa wa Kitaifa wakishiriki kuhani Msiba wa Mama yake Halima Mdee, Tunaishukuri serikali kwa kujitokeza kushiriki kuwafariji Wafiwa.

Gerson Msigwa

View attachment 3057987

Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko

View attachment 3057989

Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa

View attachment 3057990

Bado inatarajiwa kuwa na Ugeni Mkubwa zaidi

PIA SOMA
- TANZIA - Mama mzazi wa Halima Mdee afariki dunia
Lissu aliyekuwa analia watu hawaendi kumuona Nairobi wakati anaumwa, yeye hata kwa Mdee aliyefiwa, hajafika.
 
Apumzike kwa Amani Mama Mzaa Chema,! Pole sana Halima Mungu akuvushe ktk wakati huu Mgumu wa kumpoteza Mama! Tunakupenda, [emoji8]
 
Pole sana wanafamilia kwa msiba wa huyu mama yetu aliyeitwa na Bwana. Mungu wetu wa huruma, tunamwomba amjalie pumziko jema kwenye ufalme wake wa milele.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe.

Halima Mdee na jamaa nzima ya marehemu, mfarijike na neno hili,
Yn 11: 25-26
"Yeye aniaminiye mimi, ajapo kufa, atakuwa anaishi'

Na andiko jingine lasema:

Rum 14: 8.
Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Basi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wasiposhiriki msiba huu na kua karibu na Halima watakua wamefanya kosa kubwa kwenye jambo la kijamii. Wanasiasa wanasema hakuna uadui wa kudumu katika siasa;ngoja tuone
Hawewezi kutoshiriki au umesahau kuwa mama yake halima ni shangazi yake Lema
 
Back
Top Bottom