Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kwenye Msiba wa Mama YakePolen
Lissu aliyekuwa analia watu hawaendi kumuona Nairobi wakati anaumwa, yeye hata kwa Mdee aliyefiwa, hajafika.Viongozi kadhaa wa Kitaifa wakishiriki kuhani Msiba wa Mama yake Halima Mdee, Tunaishukuri serikali kwa kujitokeza kushiriki kuwafariji Wafiwa.
Gerson Msigwa
View attachment 3057987
Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko
View attachment 3057989
Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa
View attachment 3057990
Bado inatarajiwa kuwa na Ugeni Mkubwa zaidi
PIA SOMA
- TANZIA - Mama mzazi wa Halima Mdee afariki dunia
Kama wakina Joh Makini na Nikki wapili tu!..Halima James Mdee.
..inawezekana kabisa ukoo wao wamechanganya dini za Kiislamu na Kikristo.
..huenda Halima ni jina alilorithi toka kwa Bibi yake ambaye alikuwa Muislamu.
unajiuliza na kujibu mwenyeweNajiuliza ilikuaje kuaje akawa HALIMA wakati mama ake ni mkatoliki safi tu au Halima ni jina tu?
Unajuaje kuwa hajafika?Lissu aliyekuwa analia watu hawaendi kumuona Nairobi wakati anaumwa, yeye hata kwa Mdee aliyefiwa, hajafika.
CCM ni majizi na mafisadi papa.Chadema ni matapeli
Pole Halima wangu 💖💖 mdogo wangu
Hahahahaha, habari ya ukarimu wa CcmChadema kwa hiyo hii kwenu ni habari.?
Utakwenda kuzika au huendi!Viongozi kadhaa wa Kitaifa wakishiriki kuhani Msiba wa Mama yake Halima Mdee, Tunaishukuri serikali kwa kujitokeza kushiriki kuwafariji Wafiwa.
Gerson Msigwa
View attachment 3057987
Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko
View attachment 3057989
Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa
View attachment 3057990
Bado inatarajiwa kuwa na Ugeni Mkubwa zaidi
PIA SOMA
- TANZIA - Mama mzazi wa Halima Mdee afariki dunia
Wazazi wa Halima ni Wakristu. Bibi yake Halima upande wa Baba alikiluwa akiitwa Halima. Kwa hiyo Halima Mdee alipewa jina la Bibi yake.Najiuliza ilikuaje kuaje akawa HALIMA wakati mama ake ni mkatoliki safi tu au Halima ni jina tu?
Watakuwepo mkuu,mama yake halima ni shangazi yake LemaChadema hata kwenye msiba mnasusa mtajiangusha
Hawewezi kutoshiriki au umesahau kuwa mama yake halima ni shangazi yake LemaChadema wasiposhiriki msiba huu na kua karibu na Halima watakua wamefanya kosa kubwa kwenye jambo la kijamii. Wanasiasa wanasema hakuna uadui wa kudumu katika siasa;ngoja tuone
ngoja nikutafutie tusi zito nikurushie. Maana sasa inbidi udhibitiwe😀😀😀😀😀Family ya Mdee ina Hisa Chadema Ndio sababu ya Viongozi wakuu kufika msibani 🐼