Bahati ilioje: Msiba wa Raia uliogeuka kuwa Msiba wa Kitaifa, Tunaishukuru Serikali

Mtoa mada roho mbaya uliyonayo unaweza kujengea ht ghorofa, ht ww ukifa viongozi wa nchi watajaa
 
Ni majina tu mkuu..
Kiislam majina yake yana maana zake.

Halima alikuwa ni mama mlezi wa Mtume Muhammad Sala Allahu alayhi Wasalaam.

Pia linamaanisha ",mpole, mstahamilivu".

Inawezekana mama yake Mdee alikuwa na shoga yuake Muislam au pia inawezekana Baba'ke ni Muislam. Kina "Mdee" ni watu wa Tanga kiasili.

Kama Halima ni mtoto wa singo maza, jibu lipo wazi.
 
Pole haichagui hao wote waliohudhuria hapo ni wanasiasa wenzake, ndio maana hata wale kina Boni Yai na MMM nao wametoa pole zao mtandaoni.
 
baada ya ugeeni mtujuze mlete na uhaii wa mama mdee nawakumbusha tu hamna tumain ma kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…