Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa makini,Unatumia mbinu gani?Mie nataka kulifilisi
Pole sana hilo dubwasha litakufilisi hadi unaweza kuwa mwizi kwani addiction yake ni hatari.wadogo nawapa wastani wa 2000 kila mmoja kwa mzunguko mmoja
Leseni yake ningumu bro. Ukienda ofisini kwa Tarimba pale vigezo utavikuta. Sharti uweke dhamana ya 800Millions Tshs. Narudia, ni zamana hiyo. Iwepo benki imeshikiliwa.hivi mtu wa kawaida hawezi kumiliki hii kitu???
Mi naamini inawezekana mkuu, huko kuchokoa kwa uzi naona kama ni kujitafutia tabuKulifilisi ni ngumu labda ulipasue pesa kidogo ya madafu tena ukiwa na bahati ya mtende..ukishapiga mshindo ukimbie mithili ya bolt bila ya hivyo utacheza tena na utaliwa hata pesa ambayo hukuwa nayo
Njia ya kulifilisi ni kulichokonoa kwa Uzi uliofungia mia mbili ..hii inahitaji wataalamu wa kazi
Achaneni na ujinga huu. Mtaisha mifukoni. Kama unacheza dude hizi, basi uzicheze kispoti yan.
Kuna bro mmoja kitaani kwetu apa huwa akitaka burudani anachukua zake Trey tatu au nne kabisa anaweka pembeni anaaza kudumbukiza.
Apo wasaka vichele vya fegi tunampisha kwanza. Anazungusha mikanda kibao hatoi ata mia(withdraw). Mwisho wa siku anabaki na kete kumi au tano ndo anachagua msela yeyote apa anamkabizi then anaamsha zake. Burudan yake imeisha[emoji16][emoji23][emoji23]
😄😄 burudani tray tatu...duh! Mi siwezi chezea hela hivyo wewe kumbuka kile kitray kimoja ni 60ktsh wacha kabisa yani nipoteze 240 kizembe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ujanja wake unatakiwa uwe na sarafu moja tu.nilikuwa na weka kwa pamoja
kikubwa uwe na hela ya kutosha
Kama hujamalizia hiviKuna ujanja wake unatakiwa uwe na sarafu moja tu.
MAGUFULI4LIFE.
Wanalipia kodi wale ndio tatizoKama hujamalizia hivi
Hivi mchina atengeneze lidude yeye, aliprogram yeye, alisambaze yeye, alisimamie yeye halafu wewe unaenda kupoteza muda wako kulicheza eti upate fedha? utakuwa una mtindio wa ubongo