Bahati nasibu ya Mchina 'Korokoro' special thread

Bahati nasibu ya Mchina 'Korokoro' special thread

Pole sana hilo dubwasha litakufilisi hadi unaweza kuwa mwizi kwani addiction yake ni hatari.
Kijana, Mimi nilishawai kwa mzunguko mmoja kupiga kete 3060 sawa (612000). Sitajibu comment zaidi ya hii.
😂😂😂🙌🙌
 
Kulifilisi ni ngumu labda ulipasue pesa kidogo ya madafu tena ukiwa na bahati ya mtende..ukishapiga mshindo ukimbie mithili ya bolt bila ya hivyo utacheza tena na utaliwa hata pesa ambayo hukuwa nayo

Njia ya kulifilisi ni kulichokonoa kwa Uzi uliofungia mia mbili ..hii inahitaji wataalamu wa kazi
 
hivi mtu wa kawaida hawezi kumiliki hii kitu???
Leseni yake ningumu bro. Ukienda ofisini kwa Tarimba pale vigezo utavikuta. Sharti uweke dhamana ya 800Millions Tshs. Narudia, ni zamana hiyo. Iwepo benki imeshikiliwa.

Kibongobongo kuna wana wanafosi sana mishe iyo. Sema ndo kama ivo wachina wanaSpies wao kila kona. Ukiotewa wanahonga hela mingi polisi. Unajeruhiwa mwili na uchumi in general

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achaneni na ujinga huu. Mtaisha mifukoni. Kama unacheza dude hizi, basi uzicheze kispoti yan.

Kuna bro mmoja kitaani kwetu apa huwa akitaka burudani anachukua zake Trey tatu au nne kabisa anaweka pembeni anaaza kudumbukiza.

Apo wasaka vichele vya fegi tunampisha kwanza. Anazungusha mikanda kibao hatoi ata mia(withdraw). Mwisho wa siku anabaki na kete kumi au tano ndo anachagua msela yeyote apa anamkabizi then anaamsha zake. Burudan yake imeisha[emoji16][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulifilisi ni ngumu labda ulipasue pesa kidogo ya madafu tena ukiwa na bahati ya mtende..ukishapiga mshindo ukimbie mithili ya bolt bila ya hivyo utacheza tena na utaliwa hata pesa ambayo hukuwa nayo

Njia ya kulifilisi ni kulichokonoa kwa Uzi uliofungia mia mbili ..hii inahitaji wataalamu wa kazi
Mi naamini inawezekana mkuu, huko kuchokoa kwa uzi naona kama ni kujitafutia tabu
 
Achaneni na ujinga huu. Mtaisha mifukoni. Kama unacheza dude hizi, basi uzicheze kispoti yan.

Kuna bro mmoja kitaani kwetu apa huwa akitaka burudani anachukua zake Trey tatu au nne kabisa anaweka pembeni anaaza kudumbukiza.

Apo wasaka vichele vya fegi tunampisha kwanza. Anazungusha mikanda kibao hatoi ata mia(withdraw). Mwisho wa siku anabaki na kete kumi au tano ndo anachagua msela yeyote apa anamkabizi then anaamsha zake. Burudan yake imeisha[emoji16][emoji23][emoji23]
😄😄 burudani tray tatu...duh! Mi siwezi chezea hela hivyo wewe kumbuka kile kitray kimoja ni 60ktsh wacha kabisa yani nipoteze 240 kizembe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilicheza ikawa inamwaga tu hela ,uzuri tulikuwa kama wanne hamna anayetaka kucheza ,mi naendelea tu inamwaga hadi hela zikaisha kumbe mbovu.
Hivi mchina atengeneze lidude yeye, aliprogram yeye, alisambaze yeye, alisimamie yeye halafu wewe unaenda kupoteza muda wako kulicheza eti upate fedha? utakuwa una mtindio wa ubongo

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Back
Top Bottom