Bahati yetu ni Jua, Unyevunyevu (humidity) na Joto - Corona hatambi

Namba zetu za maambukizi na vifo hadi sasa vinaelekea kuwa tofauti na zile za wenzetu walioko kwenye nchi za baridi.
Ushahidi unaanza kupatikana sasa kueleza tofauti hizi kati ya nchi zetu na za hawa wengine.

Ingawa pamekuwepo na dhana ya kuhusisha joto, unyevunyevu na mwanga katika kupungua kwa kasi ya maenezi ya coronavirus, dhana hii bado ilikuwa haijapata ushahidi wa kimaabara kuhusisha hali hizo na kupunguza kasi ya kuenea kwa coronavirus.

Sasa uchunguzi huo umefanyika na inabainishwa wazi kwamba corona anadhurika haraka anapokutana na mazingira hayo ya joto, mwanga na unyevunyevu.

Huu utakuwa ni ushahidi wa kujitosheleza kuhusu bahati yetu ya kutokuwa na kasi ya maambukizi kama ile tuliyoiona Italy, Uingereza, USA na kwingineko.

Corona anadhurika haraka, kwa hiyo maambukizi yanapungua. Hii haina maana kwamba maambukizi hayatakuwepo kabisa. Maambukizi yatakuwepo kama haya tuliyokwishayashuhudia, lakini kasi yake haitafikia ile inayoonekana kwenye nchi za baridi.

Maana ya utafiti huo ni kwamba, sisi tukiongeza juhudi ya kuongeza kuzuia maambukizi, kama kunawa mikono, barakoa na kutokaribiana zaidi, nafasi yetu ya kuzuia maambukizi na vifo inaweza kuwa kubwa zaidi.

Hii ina maana, Mungu, alishasikiliza sala zetu kuhusu ugonjwa huu, ndiyo maana katuweka hapa tulipo.
Tuzidi kusali/kuswali.

Najua utataka nikupe source ya utafiti huo. Vuta subira. Kwa sasa nikupe tu kwamba tafiti za aina hii zinaendelea India, USA na kwingineko.

Hata sisi hapa tungeweza kufanya...; aaah, acha tupige siasa kwanza. Kwa sababu siasa inalipa!
Hiyo nadharia yako ya joto, ni nadharia hewa. Kawaulize Ecuador. Hii ni tropical country.

Halafu katazame Brazil, Ghana, India, Niger.
 
Mheshimiwa rais asitishwe na mtu, hakuna lockdown hapa. Angalia nchi walizoimplement lock down kama italy na spain maambukizi yalishamiri bado..... na sasa wanaanza kuruhusu shughuli za kiuchumi ziendelee maana yake performance ya lockdown ni sifuri. Hongera sana JPM the JIWE himself.
Lete ushahidi wa namba sio utabiri
China walifanya Lockdown mbona hutoi mfano huo, unaogopa nini mwana Lumumba wewe.

Rwanda wana Lockdown hakuna aliyekufa, kwetu kulingana na taarifa rasmi wamekufa watano, hapo unasemaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa rais asitishwe na mtu, hakuna lockdown hapa. Angalia nchi walizoimplement lock down kama italy na spain maambukizi yalishamiri bado..... na sasa wanaanza kuruhusu shughuli za kiuchumi ziendelee maana yake performance ya lockdown ni sifuri. Hongera sana JPM the JIWE himself.
Hakuna unalolijua kisayansi. Huwezi kufanya lockdown leo, kesho wagonjwa au vifo vikapungua. Tangu ulipofanya lockdown, effectiveness yake unaanza kuiona baada ya wiki 5. It is perfectly working.

Nchi zote zilizofanya lockdown, wanapata matokeo kama projections zao zilivyokuwa with minor errors.
 
kwanza hongera kwa kujiunga ktk nchi ya kusadikika, pili japo liko nje y mada husika ila ningependa nikujibu kwa uelewa wangu tofauti ya kusali na kuswali, (kwa uelewa wangu) KUSALI na KUSWALI ni maneno mawili tofauti hila yana maana moja, yani yote yanamaanisha KUABUDU MUNGU na tofauti yake ni spellings na jamii ya wanayoyatumia yani KUSALI ni neno linalotumiwa na Wakristo likimaanisha kuabudu (kumuomba mungu) na KUSWALI ni neno linalotumiwa na Waislam pia likimaanisha kuabudu. hivyo ndivyo nijuavyo mimi. mwisho hongera na pole sana kwa uku ulipokuja na usisahau kuchuku tafadhali ya corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulichoandika siyo kweli.
South Africa kwao ni kiangazi sasa hivi. Wanazika.
Australia kwao ni kiangazi pia wanazika.
Huu ugonjwa ni mpya tabia yake haifahamiki.
Wakifika wagonjwa 250, hesabu siku kumi baadaye kutakuwa na wagonjwa 5000 (late of exponentially growth). Nchi yoyote ambazo zilipunguza mizunguko ya watu kabla ya wagonjwa 50 hawajaumwa ndo aina idadi chache za wagonjwa.
Mafundi seremala huu msimu wenu wa kuvuna.
Tutazika wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Projections za WHO, Tanzania itakuwa na wagonjwa 1,000 April, 10,000 May.

Watu wanaongea kwa matamanio na siyo kwa msingi wa ukweli wa Kisayansi.
 
kwanza hongera kwa kujiunga ktk nchi ya kusadikika, pili japo liko nje y mada husika ila ningependa nikujibu kwa uelewa wangu tofauti ya kusali na kuswali, (kwa uelewa wangu) KUSALI na KUSWALI ni maneno mawili tofauti hila yana maana moja, yani yote yanamaanisha KUABUDU MUNGU na tofauti yake ni spellings na jamii ya wanayoyatumia yani KUSALI ni neno linalotumiwa na Wakristo likimaanisha kuabudu (kumuomba mungu) na KUSWALI ni neno linalotumiwa na Waislam pia likimaanisha kuabudu. hivyo ndivyo nijuavyo mimi. mwisho hongera na pole sana kwa uku ulipokuja na usisahau kuchuku tafadhali ya corona

Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo mazuri sana na yanatia moyo ingawa bado haujaweka ushahidi wa kisayansi.

Jambo lingine nina miezi mitatu tangu nipatiwe uraia na Waziri wa Mambo ya Ndani bahati nzuri hakuna aliyepinga nisipewe uraia Naomba nipatiwe tofauti ya kusali na kuswali bado sijamaliza course ya Kiswahili
zinahusiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
G Sam,
Mtu mwenye akili hua hatukani yule ambae wanatofautiana mitizamo, ustaarabu ni kitu cha bure.
Samahani mkuu ila kiukweli kwa jinsi hili janga lilivyo hupaswi kuja na mawazo kama hayo. Kumbuka kuwa hapa hatufanyi siasa linapokuja janga kama hili.
 
Mjinga wewe, Saudi , Kuwait na Oman Kuna joto zaidi ya dar na watu wanakufa huko Kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaelimu yoyote ya mambo ya Geography ndugu.

unajua kitu kiitwacho Tabia ya Nchi na athari zake kwa viumbe.

Huko Saudia na Kuwait unajua Tabia yake ya nchi( Climatic condition).

Unajua tofauti katika ya Tabia ya Nchi( Climatic condition) na Hali ya Hewa (Weather Condition).

Ukijua kutofautisha hapo utaelewa ni kwa nini Saudia na Kuwait Hali ya hewa yake ni joto ingawaje Tabia ya Nchi yake ni yakimediterania na huku kwetu Tabia ya Nchi ni Kitropic japo kuna maeneo baadhi hali ya hewa yake ni baridi
 
Iran na Saudi Arabia Joto Ni kubwa Sana na Umeona Jinsi Corona Ilivyopiga huko.

The difference ni kuwa wenyewe walikuwa wanafanya testing sisi hatufanyi.

Hakuna Cha Joto Hapa Wala Baridi. Muda si Mrefu Mtaongea Lugha Moja.

Huo muda sio mrefu ndio muda gani!?

Sent using IPhone X
 
Usichokijua ni kwamba kwenye hizi nchi zenye umasikini wa akili huwezi kupata takwimu sahihi, wanaopimwa ni wale wanaojipeleka wenyewe hospital na kuna watu kibao wanakufa ila inarekodiwa kuwa wakekufa kwa magonjwa mengine kama vile kisukari, presha, pumu, magonjwa ya moyo etc kumbe ni Corona!
 
Hawa hawa wanaosema tunahitaji lockdown ndio watakaokuja kusema “kama mataifa makubwa lockdown imewashinda sisi ni nani Tanzania tuiweze, lockdown inaua watu wengi kuliko Corona”.

Na wale wale wasioihitaji, ipo siku watabadilika na kusema “kipindi cha nyuma Rais alikua na nafasi nzuri ya kuweka lockdown na ikaleta manufaa ona sasa watu wanavyo angamia”.

SOMO: Binadamu.
 
Namba zetu za maambukizi na vifo hadi sasa vinaelekea kuwa tofauti na zile za wenzetu walioko kwenye nchi za baridi.
Ushahidi unaanza kupatikana sasa kueleza tofauti hizi kati ya nchi zetu na za hawa wengine.

Ingawa pamekuwepo na dhana ya kuhusisha joto, unyevunyevu na mwanga katika kupungua kwa kasi ya maenezi ya coronavirus, dhana hii bado ilikuwa haijapata ushahidi wa kimaabara kuhusisha hali hizo na kupunguza kasi ya kuenea kwa coronavirus.

Sasa uchunguzi huo umefanyika na inabainishwa wazi kwamba corona anadhurika haraka anapokutana na mazingira hayo ya joto, mwanga na unyevunyevu.

Huu utakuwa ni ushahidi wa kujitosheleza kuhusu bahati yetu ya kutokuwa na kasi ya maambukizi kama ile tuliyoiona Italy, Uingereza, USA na kwingineko.

Corona anadhurika haraka, kwa hiyo maambukizi yanapungua. Hii haina maana kwamba maambukizi hayatakuwepo kabisa. Maambukizi yatakuwepo kama haya tuliyokwishayashuhudia, lakini kasi yake haitafikia ile inayoonekana kwenye nchi za baridi.

Maana ya utafiti huo ni kwamba, sisi tukiongeza juhudi ya kuongeza kuzuia maambukizi, kama kunawa mikono, barakoa na kutokaribiana zaidi, nafasi yetu ya kuzuia maambukizi na vifo inaweza kuwa kubwa zaidi.

Hii ina maana, Mungu, alishasikiliza sala zetu kuhusu ugonjwa huu, ndiyo maana katuweka hapa tulipo.
Tuzidi kusali/kuswali.

Najua utataka nikupe source ya utafiti huo. Vuta subira. Kwa sasa nikupe tu kwamba tafiti za aina hii zinaendelea India, USA na kwingineko.

Hata sisi hapa tungeweza kufanya...; aaah, acha tupige siasa kwanza. Kwa sababu siasa inalipa!
Naam, tatizo lipo kwenye takwimu zinazo tolewa na serekali za ukanda huo wa kijiografia, siyo reliable, haziaminiki kabisa. Yapo mataifa machache yanayo weza kukupa taarifa za kutegemewa japo Tz si miongoni mwayo. Kwenye mataifa yetu haya fukara case nyingi zinapita bila kutambuliwa, taarifa kama za akina ummy mwalimu haziwezi kutumika kufanya hitimisho sahihi.
 
Yaani nyinyi wapinganji (walalamikaji) mna kila sifa ya kuwa ndugu na hicho kirusi.

Wakati taifa liko silini likijiombea nyinyi mko chimbo mnaomba hali iwe mbaya zaidi,ni kama hamtaki kusikia habari zozote njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ume nia attack direct.. umesahau ku attack point yangu.. which makes you look weak.
The point is sipingi chochote but it is my concern hali ilivyo sasa we need an active strayegy to contain the situatuation.
Can they?
Can you?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba zetu za maambukizi na vifo hadi sasa vinaelekea kuwa tofauti na zile za wenzetu walioko kwenye nchi za baridi.
Ushahidi unaanza kupatikana sasa kueleza tofauti hizi kati ya nchi zetu na za hawa wengine.

Ingawa pamekuwepo na dhana ya kuhusisha joto, unyevunyevu na mwanga katika kupungua kwa kasi ya maenezi ya coronavirus, dhana hii bado ilikuwa haijapata ushahidi wa kimaabara kuhusisha hali hizo na kupunguza kasi ya kuenea kwa coronavirus.

Sasa uchunguzi huo umefanyika na inabainishwa wazi kwamba corona anadhurika haraka anapokutana na mazingira hayo ya joto, mwanga na unyevunyevu.

Huu utakuwa ni ushahidi wa kujitosheleza kuhusu bahati yetu ya kutokuwa na kasi ya maambukizi kama ile tuliyoiona Italy, Uingereza, USA na kwingineko.

Corona anadhurika haraka, kwa hiyo maambukizi yanapungua. Hii haina maana kwamba maambukizi hayatakuwepo kabisa. Maambukizi yatakuwepo kama haya tuliyokwishayashuhudia, lakini kasi yake haitafikia ile inayoonekana kwenye nchi za baridi.

Maana ya utafiti huo ni kwamba, sisi tukiongeza juhudi ya kuongeza kuzuia maambukizi, kama kunawa mikono, barakoa na kutokaribiana zaidi, nafasi yetu ya kuzuia maambukizi na vifo inaweza kuwa kubwa zaidi.

Hii ina maana, Mungu, alishasikiliza sala zetu kuhusu ugonjwa huu, ndiyo maana katuweka hapa tulipo.
Tuzidi kusali/kuswali.

Najua utataka nikupe source ya utafiti huo. Vuta subira. Kwa sasa nikupe tu kwamba tafiti za aina hii zinaendelea India, USA na kwingineko.

Hata sisi hapa tungeweza kufanya; aaah, acha tupige siasa kwanza. Kwa sababu siasa inalipa!
Ipe muda tu, itathibitisha uhalisia wake, hamna anayeijua mpaka sasa zaidi ya kupiga ramli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo mazuri sana na yanatia moyo ingawa bado haujaweka ushahidi wa kisayansi.

Jambo lingine nina miezi mitatu tangu nipatiwe uraia na Waziri wa Mambo ya Ndani bahati nzuri hakuna aliyepinga nisipewe uraia Naomba nipatiwe tofauti ya kusali na kuswali bado sijamaliza course ya Kiswahili
Kusali na kuswali vina maana moja ya kumuomba Mungu, bali wakristu hutumia la kwanza na waislamu hutumia la pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo nadharia yako ya joto, ni nadharia hewa. Kawaulize Ecuador. Hii ni tropical country.

Halafu katazame Brazil, Ghana, India, Niger.
Hapana. Siyo nadharia tena, ni 'practical', ni matokeo ya utafiti unaoonyesha pasipo shaka yoyote kwamba coronavirus anaathiriwa haraka sana katika mazingira ya joto na unyevunyevu. Ni matokeo yanayoonyesha kwamba mionzi ya jua (ultraviolet) inasambaratisha coronavirus.
Sasa unapozungumzia nchi hizo za Ecuador na kwingineko kama mfano, ndio maana nikakueleza kwamba joto na unyevunyevu havizuii maambukizi asili mia mia moja, ndio maana ni lazima kuwepo na njia nyingine zinazotakiwa kuambatana na mazingira hayo ili kufisisha maambukizi kwa kasi zaidi.

Isitoshe, mikusanyiko ya watu sehemu mbalimbali zisizokuwa na hali hizo, kama makanisani,misikitini, vyombo vya kusafiria, bado ni sehemu muhimu za kueneza ugonjwa, kwa hiyo tahadhari ya kutumia njia zingine kupunguza wingi wa hawa coronavirus bado zitakuwa ni mhimu kusitisha kuenea kwa ugonjwa.
 
Back
Top Bottom