Bahati yetu ni Jua, Unyevunyevu (humidity) na Joto - Corona hatambi

Hiyo nadharia yako ya joto, ni nadharia hewa. Kawaulize Ecuador. Hii ni tropical country.

Halafu katazame Brazil, Ghana, India, Niger.
 
Lete ushahidi wa namba sio utabiri
China walifanya Lockdown mbona hutoi mfano huo, unaogopa nini mwana Lumumba wewe.

Rwanda wana Lockdown hakuna aliyekufa, kwetu kulingana na taarifa rasmi wamekufa watano, hapo unasemaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna unalolijua kisayansi. Huwezi kufanya lockdown leo, kesho wagonjwa au vifo vikapungua. Tangu ulipofanya lockdown, effectiveness yake unaanza kuiona baada ya wiki 5. It is perfectly working.

Nchi zote zilizofanya lockdown, wanapata matokeo kama projections zao zilivyokuwa with minor errors.
 
kwanza hongera kwa kujiunga ktk nchi ya kusadikika, pili japo liko nje y mada husika ila ningependa nikujibu kwa uelewa wangu tofauti ya kusali na kuswali, (kwa uelewa wangu) KUSALI na KUSWALI ni maneno mawili tofauti hila yana maana moja, yani yote yanamaanisha KUABUDU MUNGU na tofauti yake ni spellings na jamii ya wanayoyatumia yani KUSALI ni neno linalotumiwa na Wakristo likimaanisha kuabudu (kumuomba mungu) na KUSWALI ni neno linalotumiwa na Waislam pia likimaanisha kuabudu. hivyo ndivyo nijuavyo mimi. mwisho hongera na pole sana kwa uku ulipokuja na usisahau kuchuku tafadhali ya corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Projections za WHO, Tanzania itakuwa na wagonjwa 1,000 April, 10,000 May.

Watu wanaongea kwa matamanio na siyo kwa msingi wa ukweli wa Kisayansi.
 
zinahusiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
G Sam,
Mtu mwenye akili hua hatukani yule ambae wanatofautiana mitizamo, ustaarabu ni kitu cha bure.
Samahani mkuu ila kiukweli kwa jinsi hili janga lilivyo hupaswi kuja na mawazo kama hayo. Kumbuka kuwa hapa hatufanyi siasa linapokuja janga kama hili.
 
Mjinga wewe, Saudi , Kuwait na Oman Kuna joto zaidi ya dar na watu wanakufa huko Kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app


Unaelimu yoyote ya mambo ya Geography ndugu.

unajua kitu kiitwacho Tabia ya Nchi na athari zake kwa viumbe.

Huko Saudia na Kuwait unajua Tabia yake ya nchi( Climatic condition).

Unajua tofauti katika ya Tabia ya Nchi( Climatic condition) na Hali ya Hewa (Weather Condition).

Ukijua kutofautisha hapo utaelewa ni kwa nini Saudia na Kuwait Hali ya hewa yake ni joto ingawaje Tabia ya Nchi yake ni yakimediterania na huku kwetu Tabia ya Nchi ni Kitropic japo kuna maeneo baadhi hali ya hewa yake ni baridi
 
Iran na Saudi Arabia Joto Ni kubwa Sana na Umeona Jinsi Corona Ilivyopiga huko.

The difference ni kuwa wenyewe walikuwa wanafanya testing sisi hatufanyi.

Hakuna Cha Joto Hapa Wala Baridi. Muda si Mrefu Mtaongea Lugha Moja.

Huo muda sio mrefu ndio muda gani!?


Sent using IPhone X
 
Usichokijua ni kwamba kwenye hizi nchi zenye umasikini wa akili huwezi kupata takwimu sahihi, wanaopimwa ni wale wanaojipeleka wenyewe hospital na kuna watu kibao wanakufa ila inarekodiwa kuwa wakekufa kwa magonjwa mengine kama vile kisukari, presha, pumu, magonjwa ya moyo etc kumbe ni Corona!
 
Hawa hawa wanaosema tunahitaji lockdown ndio watakaokuja kusema “kama mataifa makubwa lockdown imewashinda sisi ni nani Tanzania tuiweze, lockdown inaua watu wengi kuliko Corona”.

Na wale wale wasioihitaji, ipo siku watabadilika na kusema “kipindi cha nyuma Rais alikua na nafasi nzuri ya kuweka lockdown na ikaleta manufaa ona sasa watu wanavyo angamia”.

SOMO: Binadamu.
 
Naam, tatizo lipo kwenye takwimu zinazo tolewa na serekali za ukanda huo wa kijiografia, siyo reliable, haziaminiki kabisa. Yapo mataifa machache yanayo weza kukupa taarifa za kutegemewa japo Tz si miongoni mwayo. Kwenye mataifa yetu haya fukara case nyingi zinapita bila kutambuliwa, taarifa kama za akina ummy mwalimu haziwezi kutumika kufanya hitimisho sahihi.
 
Naona ume nia attack direct.. umesahau ku attack point yangu.. which makes you look weak.
The point is sipingi chochote but it is my concern hali ilivyo sasa we need an active strayegy to contain the situatuation.
Can they?
Can you?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipe muda tu, itathibitisha uhalisia wake, hamna anayeijua mpaka sasa zaidi ya kupiga ramli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusali na kuswali vina maana moja ya kumuomba Mungu, bali wakristu hutumia la kwanza na waislamu hutumia la pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo nadharia yako ya joto, ni nadharia hewa. Kawaulize Ecuador. Hii ni tropical country.

Halafu katazame Brazil, Ghana, India, Niger.
Hapana. Siyo nadharia tena, ni 'practical', ni matokeo ya utafiti unaoonyesha pasipo shaka yoyote kwamba coronavirus anaathiriwa haraka sana katika mazingira ya joto na unyevunyevu. Ni matokeo yanayoonyesha kwamba mionzi ya jua (ultraviolet) inasambaratisha coronavirus.
Sasa unapozungumzia nchi hizo za Ecuador na kwingineko kama mfano, ndio maana nikakueleza kwamba joto na unyevunyevu havizuii maambukizi asili mia mia moja, ndio maana ni lazima kuwepo na njia nyingine zinazotakiwa kuambatana na mazingira hayo ili kufisisha maambukizi kwa kasi zaidi.

Isitoshe, mikusanyiko ya watu sehemu mbalimbali zisizokuwa na hali hizo, kama makanisani,misikitini, vyombo vya kusafiria, bado ni sehemu muhimu za kueneza ugonjwa, kwa hiyo tahadhari ya kutumia njia zingine kupunguza wingi wa hawa coronavirus bado zitakuwa ni mhimu kusitisha kuenea kwa ugonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…