Bahati yetu ni Jua, Unyevunyevu (humidity) na Joto - Corona hatambi

Dah watanzania hivi mbona mnapenda kujinenea mabaya? mtu anacomment baaada ya muda kidogo tutaongea lugha moja it means tutakua na rate sawa na marekani au?
Mwingine anasema tutazika wengi as if yeye hayuko tanzania.
Tuajaribu kujinenea yaliyo mema power of positive thinking hii inatufanya hata ukiupata ugonjwa uwe ktk relaxed situation yani hupanick sana kwa sbb unajua hata kama nimevipata sitakufa sisi hatutakufa kama wao. Period!!
 
ndiomana nikasema kwa uelewa wangu so wewe km unauelewa mwengine waziada unaweza uweka hapa kwani itaweza kuniongezea kitu hata mimi, afu usiondoke bwana we bakia tu ili tuendelee kulishwa matango pori pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran na Saudi Arabia Joto Ni kubwa Sana na Umeona Jinsi Corona Ilivyopiga huko.

The difference ni kuwa wenyewe walikuwa wanafanya testing sisi hatufanyi.

Hakuna Cha Joto Hapa Wala Baridi. Muda si Mrefu Mtaongea Lugha Moja.
Sasaivi huko ni kipindi cha baridi subiri may ndio joto linaanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa bandiko. Unaweza kutuwekea hapa link ya utafiti huo tujiridhishe?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…