Bahatisha umri wa mwanaJF

Hahaa yani uchangiaji wa Demiss umekupelekea ku guess ni 23yrs [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Umepunja bwana
 
Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anamaandishi ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.

Hivyo tabu tupu kwa walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.

emmyta hapo ndipo nikupendeapo tuu... upo vizuri!

Wacha nibashiri umri wako......(28yrs)
 
Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anamaandishi ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.

Hivyo tabu tupu kwa walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Ahaa mkuu wew 24 jok ...happy new year & miss u so much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…