Hahahaa. Wewe ndio msema ukweli mdogo wangu dada yako ameshakula chumvi.Wewe utakuwa 40-50.
Kigagula kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nilishasahau ujue. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hukumbuki kama kililiwa na panya Dada yangu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahahaa. Umenipunja bana.
Hahaaa. Kipwate mie rafiki yako Kibibi ujue. [emoji85]Ahaa mkuu wew 24 jok ...happy new year & miss u so much
Tena ya Magadi kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa. Wewe ndio msema ukweli mdogo wangu dada yako ameshakula chumvi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilishasahau ujue. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hawawezi kutubahatisha kamwe, ushahidi hamna[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hawawezi kutubahatisha kamwe, ushahidi hamna[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mwifwa una miaka 30 uongo kweli?Hawawezi kutubahatisha kamwe, ushahidi hamna[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Thad mbona unatoboa siri, mimi nilikuwa bado najidogodesha hapa jamani[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mwifwa una miaka 30 uongo kweli?
Wewe 27-35 huchomoki hapa.Mwifwa una miaka 30 uongo kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umekosea kidogo sana, hapo kwenye 35 ongezea 7 utapata umri wangu halisi.Wewe 27-35 huchomoki hapa.
Basi nisamehe bure,[emoji40] [emoji40]Thad mbona unatoboa siri, mimi nilikuwa bado najidogodesha hapa jamani[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nishazoea kunidanganya tu, hata kule shuleni unanidanganya kila siku ili nisikupe adhabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] umekosea kidogo sana, hapo kwenye 35 ongezea 7 utapata umri wangu halisi.
Hapo sawa.Basi nisamehe bure,[emoji40] [emoji40]
Jamani Mwifwa ana miaka 18
Hahahaa. Umenipunja bana.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ooh, nimepunja nusu au kila kabisa!? Ukienda mbali saana 30 [emoji3][emoji3][emoji3]