Hahahaaaa. Hata mjini wapo bana. [emoji85]Emmyta ahaaaaa wabibi qako huko nannyirindi wew mdada wa mjini ni janja janja sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....Mungu mwema tumevuka salama jukwaan na pita san ww sikuoni mumy
Inapendeza sanaNiko salama kabisa mkuu.
Psychologically...wanawake wengi hawapendi kujulikana kuwa ni wakubwa kiumri hata kama huo ndio ukweli, kwasababu wanahisi kwa kujulikana huko wataonekana kuwa si rahisi tena kuolewa, kujaliwa na huenda wanakaribia kile kipindi cha ushindwaji wa kuconceive na kuzaa (Menopause)
Kwasababu hiyo basi imetupasa sisi waume kutowauliza wanawake hawa nyumri zao ili kuwapa amani ndani ya mioyo yao.
Mathalan, mimi huwa simuulizi mwanawake umri wake pale ninapomhitaji hasa nikigundua ana umri mkubwa kunizidi, kwasababu nitaweza kumkosa na sipendi nimkose, kumnyima raha ama kumharibia siku yake.
Wanawale wanafanya mengi kujirudisha utotoni au ujanani kuliko wanaume.
Wee tema mate chini! [emoji12] [emoji12] [emoji12]Utakua mdogo wewe
Sio rahisi kukubali umri unakimbia halafu ukiangalia vitu vingi hujatimiza kwenye umri ulionao.
Wait.... whaat!!!Utakua mdogo wewe
Wakuu...
Kwa kuangalia AVATAR, hoja/mada na namna ya uchangiaji wa mwana JF mmoja mmoja; unaweza kusema huyu atakuwa mzee wa miaka kadhaa, binti mbichi kabisa, kijana au mtu mzima wa umri huu...
Mimi naanza hivi:-
1. witnessj -miaka 30
2. Demiss - miaka 23
Haya na wewe tiririka...
Ichukue tu maana imenichosha kuibeba hiyo heshima yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] nipe heshima yangu!
Umesema kweli. Kuna mtu hum maandishi yake ukiyaona kama ana miaka 40+ ila nilifuatilia stori yake sidhani kama amefikisha hata 25 na kama amefikisha havuki 26Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi , wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anamaandishi ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.
Hivyo tabu tupu kwa walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Ni mimi hapa khantweUmesema kweli. Kuna mtu hum maandishi yake ukiyaona kama ana miaka 40+ ila nilifuatilia stori yake sidhani kama amefikisha hata 25 na kama amefikisha havuki 26
Kwa hiyo ukiwa na watoto wanne hutakiwi kujiita jina hilo?Kuna mtu anajiita Ms.Lincoln lkn ana watt 4
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee tema mate chini! [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ni mzee kizee haswa ila sionei aibu uzee wangu hata kidogo zaidi zaidi naongezeaga na nyongeza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa kwa kweli imani ndio uamisha mlima, basi endeleeni na utaratibu wenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Tuelewe tuWait.... whaat!!!
Wadogo hawapendi kuonekana wadogo na wakubwa hawapendi waonekane wakubwa....
Interesting species
Kweli my dear na wa hivyo ndio wengi sana. Mie nina rafiki yangu mmoja huyo yaani akiniquote sehemu huwa naogopa hata namna ya kumjibu sababu yuko vizuri kichwani aiseee.Umesema kweli. Kuna mtu hum maandishi yake ukiyaona kama ana miaka 40+ ila nilifuatilia stori yake sidhani kama amefikisha hata 25 na kama amefikisha havuki 26
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Ni mimi hapa khantwe
Hapana mkuu huyo si mimi.....Ndo wewe mkuu huyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Tuelewe tu
Niko kwenye maandalizi ya Birthday ya witnessj (Zanzibar Palace Hotel) next month and she will be 27 years old.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aah wapi we mwandiko wako unaonyesha tu una miaka 27Ni mimi hapa khantwe