Bahatisha umri wa mwanaJF

Bahatisha umri wa mwanaJF

Emmyta ahaaaaa wabibi qako huko nannyirindi wew mdada wa mjini ni janja janja sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....Mungu mwema tumevuka salama jukwaan na pita san ww sikuoni mumy
Hahahaaaa. Hata mjini wapo bana. [emoji85]

Nipo rafiki nadhani tunapishana tu.
 
Psychologically...wanawake wengi hawapendi kujulikana kuwa ni wakubwa kiumri hata kama huo ndio ukweli, kwasababu wanahisi kwa kujulikana huko wataonekana kuwa si rahisi tena kuolewa, kujaliwa na huenda wanakaribia kile kipindi cha ushindwaji wa kuconceive na kuzaa (Menopause)

Kwasababu hiyo basi imetupasa sisi waume kutowauliza wanawake hawa nyumri zao ili kuwapa amani ndani ya mioyo yao.

Mathalan, mimi huwa simuulizi mwanawake umri wake pale ninapomhitaji hasa nikigundua ana umri mkubwa kunizidi, kwasababu nitaweza kumkosa na sipendi nimkose, kumnyima raha ama kumharibia siku yake.

Wanawale wanafanya mengi kujirudisha utotoni au ujanani kuliko wanaume.

Salaam ziwafikie popote walipo, trick yao tumeitambua na sikuizi hatuulizi umri ni moja kwa moja kwenye point [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wakuu...

Kwa kuangalia AVATAR, hoja/mada na namna ya uchangiaji wa mwana JF mmoja mmoja; unaweza kusema huyu atakuwa mzee wa miaka kadhaa, binti mbichi kabisa, kijana au mtu mzima wa umri huu...

Mimi naanza hivi:-

1. witnessj -miaka 30
2. Demiss - miaka 23

Haya na wewe tiririka...

Niko kwenye maandalizi ya Birthday ya witnessj (Zanzibar Palace Hotel) next month and she will be 27 years old.
 
Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi , wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anamaandishi ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.

Hivyo tabu tupu kwa walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Umesema kweli. Kuna mtu hum maandishi yake ukiyaona kama ana miaka 40+ ila nilifuatilia stori yake sidhani kama amefikisha hata 25 na kama amefikisha havuki 26
 
Umesema kweli. Kuna mtu hum maandishi yake ukiyaona kama ana miaka 40+ ila nilifuatilia stori yake sidhani kama amefikisha hata 25 na kama amefikisha havuki 26
Kweli my dear na wa hivyo ndio wengi sana. Mie nina rafiki yangu mmoja huyo yaani akiniquote sehemu huwa naogopa hata namna ya kumjibu sababu yuko vizuri kichwani aiseee.

Naweza mpa like tu na kama ni asubuhi basi nitamjibu jioni sababu kila ninachoandika nafuta kwani nahisi hatonielewa nilichoandika.

Dahafrazeril heshima kwako Comred.
 
Back
Top Bottom