Psychologically...wanawake wengi hawapendi kujulikana kuwa ni wakubwa kiumri hata kama huo ndio ukweli, kwasababu wanahisi kwa kujulikana huko wataonekana kuwa si rahisi tena kuolewa, kujaliwa na huenda wanakaribia kile kipindi cha ushindwaji wa kuconceive na kuzaa (Menopause)
Kwasababu hiyo basi imetupasa sisi waume kutowauliza wanawake hawa nyumri zao ili kuwapa amani ndani ya mioyo yao.
Mathalan, mimi huwa simuulizi mwanawake umri wake pale ninapomhitaji hasa nikigundua ana umri mkubwa kunizidi, kwasababu nitaweza kumkosa na sipendi nimkose, kumnyima raha ama kumharibia siku yake.
Wanawale wanafanya mengi kujirudisha utotoni au ujanani kuliko wanaume.