Bahiri kupitiliza

Hawa wanawake wanadhani hela twaokota eeeh
 
Mkuu mimi huyu namuelewa sana kaomba 60k toka wiki iliyopita sijampa
 
Kuna jambo la muhimu na la maana ,Usipotoa hela kwenye jambo la muhimu kama sherehe haina shida ila la maana kama Afya unatakiwa uingie mfukoni kwa maana kutoa ni Moyo si utajiri
 
Pia tahadhari au dharura ni muhimu
 
Ewaaah asijekutaka kujilinganisha na mastaaa wakati yeye bado anajitafuta
 
Huo ubahili. Me naamini huna hela. Pia, ukimpata mpenzi wote mkawa na malengo hawezi kukuchuna hata 50 atahitaji hela za kawaida tu kama voch, nauli, hela ambazo hata wewe utahitaji. Pia huo ubahili huweI kuwa na maisha mazuri kamwe. Hivyo Jiangalie kijana. Hata ADA, CHAKULA NA MAVAZI huwez mudu kisa ubahili.
 
Kiufupi huna hela,Tafuta hela uwe na roho ya kusaidia wahitaji, haijalishi ni demu wako au mzazi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…