Bahiri kupitiliza

Bahiri kupitiliza

Kuna ubahili wa kutokutowa pesa ovyo na wamalengo sasa kwa upande wako nakuona una bajeti nzuli. Anza sasa kuwa na bajeti
1/kazini
2/kanisani
3/family apa na vimada weka
4/hakiba
5/ malazi.
Mim nilikuwa nachangamoto kama Yako hila baada ya baba wa kiroho kunifundisha hiii binu now mamb Yako saw
 
Unanikumbusha siku moja ilibidi nifunge kwa lazima maana ile asubuhi napika ugali gesi ikaisha ndio asubuhi nilikuwa napika ugali na haukufika ile steji ya uji at least ningekunywa na dagaa wa nyama ,demu anaishi kwao kwa baba na mama ananitumia message hajala ilibidi nimtukane yeye na mifugo yao pia like " kuku wenu anatombw na nyoka "

Hii ilikuwa enzi hizo nasaka job naingia jukwaa la ajira na tenda nakesha na wana kule gaddem shit watu tumetoka mbali

Unataka kuonga una kazi kiongozi ? Usije lala njaa
 
Mkuu jaribu kuifafanua vzr
 
Kazi ninayo mkuu shida nina malengo mapana kiac kwamba nikiingiza hizi mambo za madem naona wananitoa kwenye focus yangu shida ni upwiru sasa
 
Mkuu mpaka hapa kuna manzi nampenda sana aliniomba 60k toka wiki jana mpaka sasa nimeshindwa kumpa
Usimpe asee,Mimi Kuna Manzi kaniomba 50k,nimempa 25k Kwa kumwambia nimemkopea,awe ananirudishia 6500 Kwa wiki,wiki imeisha Jana kaanza kuniletea viswahili, asee nimembadilikia mbaya mbovu,hiyo misita kanipa na penzi limekufa,so namdai 19500k,nimejiandaa kwa upwiru na nyagi,ukinizidia ntanunua tu mishangazi,sitaki ujinga na wizi wa wanawake kabisa!!!
 
Mkuu,
Huenda kipato chako bado hakikutoshi na hakiwezi kutosha ntu wa pili, huo sio ubahili. Ni uwezo mdogo tu, hivyo unajiuliza namna gani unaweza kutoa wakati wewe mwenyewe hujajipata.

Bahili ni yule anacho na kutoa hataki/hawezi kwa namna yoyote ile.

Jitathmini kwanza kama ni ubahili au uwezo mdogo. Ukipata jibu karibu chama cha mabahili Tanzania.
 
Back
Top Bottom