Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Timu msoga ndo chanzoKweli kabisa.
Napata ugumu sana kuelewa nia ya viongozi wetu utakuta mtu sahihi anaondolewa kwenye wizara analetwa mtu ambaye hawezi kumsaidia mwananchi wa kawaida.
Kalemani na Sospeter Mhongo walijitahidi kwenye wizara ya Nishati.