Baina ya hawa ni yupi mtu sahihi apewe wizara ya Nishati kuihudumu?

Kweli kabisa.
Napata ugumu sana kuelewa nia ya viongozi wetu utakuta mtu sahihi anaondolewa kwenye wizara analetwa mtu ambaye hawezi kumsaidia mwananchi wa kawaida.
Kalemani na Sospeter Mhongo walijitahidi kwenye wizara ya Nishati.
Timu msoga ndo chanzo
 
Apewe Mbunge Senator Sanga aliyesema awamu ya sita imemwaga mahela😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…