Sijaelewa unaposema mafuta umeweka, yaani ya bure?Kaingiza - 30,000
Uber(25%) - 7,500
Bakiwa - 22,500
Boss - 15,000
Bakiwa - 7,500
(assuming mafuta umeweka) kweli akili kunywele!.
Kwenye hesabu ya siku Mafuta huwa hayawekewi hesabu!..Yenyewe ni kama PiSijaelewa unaposema mafuta umeweka, yaani ya bure?
Hahahh!!...Uber uingize 30,000/= kirahisi hivyo labda Mwenge- Mapinga Bagamoyo na kurudi.
kwani hio elfu 7 ni kwa mwaka au mwezi au wiki au sikuKaingiza - 30,000
Uber(25%) - 7,500
Bakiwa - 22,500
Boss - 15,000
Bakiwa - 7,500
(assuming mafuta umeweka) kweli akili kunywele!.
Ukisoma post yangu na stress matokeo yake ni kuanzisha malumbano!.So mafuta unajaza bur? Ndugu inaonyesha hata GUTA huna
elfu 7 hapo hujatoa matumizi ya nyumbani plus saving!..kwani hio elfu 7 ni kwa mwaka au mwezi au wiki au siku
Uber ndo nini tueleweshwe wa ambao hatuongozwi na Makonda