Bajaj kuingia UBER ni maumivu matupu

Bajaj kuingia UBER ni maumivu matupu

Makumbusho to Mlimani City = 2,000/= toa 25% ya uber unabaki na 1,500/= bado mafuta, bundle,airtime n.k
 
Kaingiza - 30,000
Uber(25%) - 7,500
Bakiwa - 22,500
Boss - 15,000
Bakiwa - 7,500
(assuming mafuta umeweka) kweli akili kunywele!.
Uber uingize 30,000/= kirahisi hivyo labda Mwenge- Mapinga Bagamoyo na kurudi.
 
Hapo bado UBER hawajaweka zile discounts zao safari ya 4,000/= mteja anapewa discount 1,500/= unabaki na 2,500/= then utoe makato yoote.
 
Back
Top Bottom