hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
mhhh itakuwa nimgeni wewe kutoka PlutoUber ndo nini tueleweshwe wa ambao hatuongozwi na Makonda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhhh itakuwa nimgeni wewe kutoka PlutoUber ndo nini tueleweshwe wa ambao hatuongozwi na Makonda
hahaaaaUber uingize 30,000/= kirahisi hivyo labda Mwenge- Mapinga Bagamoyo na kurudi.
ha'' haha'' haaUber ni Magari maalumu ya kusafirisha Mizigo kwa hapa Dar, Mizigo hiyo ni sambamba na Binadamu.
NB: Magari hayo yana barabara zake maalum.
Karibu Dar.
duuuuhh "" manina" najitoa "siku hiyohiyo"Kwani ni mkataba wa maisha?Wakiona haiwalipi waachane nayo
Juzi kuna jamaa kanibeba kutoka UBT hadi Mwalimu House pale Ilala ikamsomea 3000.
Una wivu wa kike mjomba. Wenzako wanapiga helaNdugu zangu Bajaj mmeingia cha kike kujidai wa kishua kujichanganya kwa mabepari UBER hela hiyo hiyo ununue Smartphone, bundle, powerbank, 25% ya UBER, airtime ya kumpigia abiria ukifika alipo, vibali, mafuta, service. *Akili ni nywele*
gharama ",za' maisha ya huko "zipoje". + bei ya bajaji ,,mafuta" na vipuli"" ??Nliwahi kuishi bangarole, mpaka dereva wa auto (huku tunaziita bajaj) unamhurumia, mtu unatembea umbaliwa kama dar kibaha then unalipa 7000 tu.ambayo ni rupee 200-230
Hehehe hata mimi nitainunua bajaji mkuu, kumbe ina faida lukuki hivyo!Amieni mikoani....huku madereva bajaji ndo tunaongoza kwa kununua viwanja na kujenga nyumba siku hz mpka kula watoto
Hapo kama boss anachukua 15,000 wengine wanataka 20,000/=.aiseee hahaaaa
Kama unaogopa kutake risk katika biashara yako basi utaendelea kuwa bajaji milele wenzako wanakuwa na kuwa Brevis!Ndugu zangu Bajaj mmeingia cha kike kujidai wa kishua kujichanganya kwa mabepari UBER hela hiyo hiyo ununue Smartphone, bundle, powerbank, 25% ya UBER, airtime ya kumpigia abiria ukifika alipo, vibali, mafuta, service. *Akili ni nywele*
sasa " siatajipatia" stroke tu " maana mawazo'' atakayokuwa ''nayo " sio ya sayari hii" but ''usisahau ''kuwa baadhi ya vijana "wengi ''wa hili taifa" ni watu wanaoishi "bila ya kuwa ''na malengo+Hapo kama boss anachukua 15,000 wengine wanataka 20,000/=.
Tufanye huyo dereva bajaj ya mkataba/mkopo ina maana aweke na hela ya service around 25,000/= per week 1 au week 2!.
Hela ya kila siku haikosekani lakini hawana marengo wengi wao!.sasa " siatajipatia" stroke tu " maana mawazo'' atakayokuwa ''nayo " sio ya sayari hii" but ''usisahau ''kuwa baadhi ya vijana "wengi ''wa hili taifa" ni watu wanaoishi "bila ya kuwa ''na malengo+
"" so maybe wao wanaona hilo nisawa tu""
kabisaHela ya kila siku haikosekani lakini hawana marengo wengi wao!.
Hutakuwa wa kwanza. Walishajaribu kina FastaFasta, msosi fasta wakaangukia pua. LaBda uanzishe Nyapu4sale AppWadau nataka nidevelop our very own Tanzania Uber tushindane nao hawa majamaa kwa kupunguza commission cut kwa dereva. Mnashauri vipi wadau? Nijilipue?