Bajeti 2021/22: Kodi ya uzalendo ni kaa la moto. Kila laini ya simu itakatwa Sh. 100 kila siku

Acheni kulalamika ovyo tutafute pesa tulipe kodi nchi ipate maendeleo wenzetu wana kodi mpaka 45% lakini wanalipa sisi Tsh 100 tena inaweza iwe Tsh20 watu mnashinda mnaliaaaaaa bas tumieni tu barua.
Hao wanao tuletea hizo kodi wao wanakatwa kodi pia au ni sisi walala hoi?
 
Nilichosema ni kuwa aache upotoshaji
Hakuna nilipofanya upotoshaji mkuu. Tozo ya laini ya simu itakuwa ni sh 100 kwa siku, siyo utakapoitumia.
 
Wala kodi wanalipa hiyo percentage lakini sii u aona walivyo fanya nchini mwao...hela inatumika ipasavyo. Elimu bure mpaka chuo kikuu. Health care ya ukweli, barabara za ukweli.

Tatizo sio kulipa kodi tatizo hiyo hela inatumikaje
Mwambie mkuu hawa huwa hata hawaelewi wanachangia nn katika hoja zao. Wanatetea as if hawaishi Tanzania.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mawili kama hauna ndugu yako kiongozi basi ni mtumishi wa ofisi ya serikali. Nadhani hata hauelewi hoja yako imelalia wapi!

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu. Hawa nguruwe tunatakiwa kuwadhibiti.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Amina... Amina... Andaaaa petition mkuu ...

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hali hiyo; wengi tunarudi ujimani bila kutaka.
 
Mwambie mkuu hawa huwa hata hawaelewi wanachangia nn katika hoja zao. Wanatetea as if hawaishi Tanzania.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Huyu anataka kujilinganisha na nchi ambazo mtanzania wa kawaida angeweza omba akaishi tuu kwenye jela zao wapi na wapi.

Mwananchi wa kawaida vitu vinavyo muumiza kichwa ni tiba ada na ajira. Hivyo viwili vya kwanza tatizo lake kuu ni kwamba ni vinahitaji attention on the spot. Leo ukiumwa haina kungoja kesho wala mwakani. Mtoto anahitaji kwenda shule umri ukifika.

Sasa sie baadala ya kujenga hospital na shule za kuhakikisha huduma inatolewa tunaenda kujenga nyumba za nhc za million 200 na kuendelea. Ambayo impact yake ni ndogo sana kwa mwanamchi wa kawaida.

Mtu kama unalipwa million mshahara alafu kodi wasepe nayo laki tano provided nina uhakika mtoto wangu atasoma na kupata elimu nzuri na mie nikipata changamoto ya afya nitapata tiba mbona sitakuwa na kinyongo kulipa hiyo kodi.
 
Mama Yangu Kule Kijijini Ambaye Mwaka Mzima Hawezi Kuweka Voucher Itakuwa Vp
Wabunge Acheni Utani Tafuteni Vyanzo Vingine
 
Je kama suala ni ubunifu wa kodi ebu pia wajaribu kutoa sticker za kulipia taxi bubu zisizolipa kodi lakini zinaingiza pato kila siku. Walipie angalau 10000 kwa mwezi.
 
Mawili kama hauna ndugu yako kiongozi basi ni mtumishi wa ofisi ya serikali. Nadhani hata hauelewi hoja yako imelalia wapi!

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
umefeli hapo kwa kila kitu, mi sina ndugu kiongozi yeyote na wala si mtumishi wa ofisi yoyote wa serikali. but all in all hata kama nina ndugu ni kiongozi ananilipia kila kitu!????! mpaka airtime aniniwekea!???!! hata kama ni mtumishi wa ofisi ya serikali je wapo exempted kwenye hili???!!?? nikukumbushe tu wakati hayati magufuli anapandisha nauli ya kivuko cha kigamboni watu kama wewe mlipiga makelele sana wakati watz wenzenu kwingineko walishazoea kulipa kivuko kwa bei hiyo. jamaa akawachana hutaki kulipa 400 piga mbizi, mlipiga mbizi??!!?? leo mlishazoea na hamlali njaa!!!. kodi zinapandishwa kila mara mlishashindwa kuzilipa?!!!? shilingi mia inakufanya utoe povu wakati unapata taarifa nyingi in a flash???!!?? mama akiugua kijijini sio mtu apande basi au aendeshe baiskeli kukufuta mjini akupe taarifa ni mwendo wa kubonyeza button tu, vivyo hivyo ukitaka kumpa msaada mama wa vijisenti sio lazima upande basi bus kwenda namtumbo ni kubonyeza tu button!!!!, aaa we acha baana porojo zako twende kazi!!!
 
Me siipingi hii kodi kwa sababu tunachangia maendeleo ya nchi yetu. Kikubwa waangalie tu inalipwaje, isiwe inahesabika kama deni kwa kila siku. Bali ikatwe tu pale mtu anapoongeza salio basi.
 
Hizo nchi wala usikompee na Sisi mapopompo.
Kodi wanazokatwa zinaonekana kwa macho zinaenda wapi.
Huduma kila sehemu tena za government ni top notch. I repeat top notch.
Ukiachishwa kazi unakua unalipwa na government. To name just a few.
Sisi sasa makapuku mamaaamake walahi. Kodi tunazokatwa nyingi ndio zinatumika kutukandamiza. Wapinzani wananunuliwa kwa Kodi zetu. Walio madarakani wanawajengea vimada wao kutumia Kodi zetu. .......
hakuna usawa kwenye kulipa Kodi. Ukijuana na watu serekalini hulipi Kodi baadhi. Unatoa rushwa familia za wapokea rushwa zikaishi better life than anyone. Kumbuka hii rushwa ni Kodi inapotea.
Wala wabongo hatuna habar na umuhim wa Kodi.
Kama ukistaafu tu mafao yako upiganie mpk damu je who cares about Kodi
Kwanza ukiwa na connection ndio unakacha Kodi big time.
please don't compare us na Scandinavia. Sisi tupo stone age na tumeridhika.
 
Acheni kulalamika ovyo tutafute pesa tulipe kodi nchi ipate maendeleo wenzetu wana kodi mpaka 45% lakini wanalipa sisi Tsh 100 tena inaweza iwe Tsh20 watu mnashinda mnaliaaaaaa bas tumieni tu barua.
Kuwa very honest! Hao wenzako ni kina Nani?Je, elimu, uwekezaji, ajira, vipato ni sawa na vya kwako???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…