Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nadhani Mwigulu anaamini kila Mtanzania anaishi kwenye nyumba yake kutokana na porojo za uchumi wa katiKuna wakati unajiuliza hivi hawa tunaita wasomi wa uchumi wanajua uchumi wa wananchi wao kweli au wanajua kuwa wote wamejenga na wana uhakika wa kula Milo mitatu kama wao...
Kwamba imepitishwa sidhani , maana ni lazima ijadiliwe bungeniWabunge wenu wamekubali na imeshapitishwa sasa ni sheria. CCM ni mtetezi aa wanyonge kweli. Bia imetelemshwa bei na mabando ya simu juu. CCM hoyee!
Yaani naona kabisa bajeti alizo kuja nazo ni mzigo kwa wanachi kuanzia Hili LA kodi ya jengo ukija LA. Laini za simu unaona kabisa huyu ni mzigo kwa watanzania ambao ni walala hoi.Nadhani Mwigulu anaamini kila Mtanzania anaishi kwenye nyumba yake kutokana na porojo za uchumi wa kati
Sawa! Tusubiri!Kwamba imepitishwa sidhani , maana ni lazima ijadiliwe bungeni
Waliosema ndio wameshinda.Sawa! Tusubiri!
hivi unazijua nyumba za kupanga linapofika suala la kununua umeme ?Katika madudu ya hii Bajeti sidhani kama hili ni tatizo, wapangaji wana mkataba kwahio katika mkataba wao watadeduct hilo ongezeko katika mkataba wao....
Issue ni hizi kodi zisiongezeke maradufu au wasinogewe kila kitu wakaweka kwenye luku....
Let's say kodi ya jengo ni 10,000/= kwahio ni around 833 /= kwa mwezi (itakuwa bora ipigwe kwa mwezi since mtu anaweza kuhama wakati wowote)... hivyo basi kama kuna wapangaji kumi hio ni around 83.3/= inaweza ikaongeleka baina ya mpangaji na mwenye nyumba ikafanyika hio deduction kwenye rent.hivi unazijua nyumba za kupanga linapofika suala la kununua umeme ?
... hizo ni chache. Hata hivyo lengo la serikali kupeleka umeme hadi vijijini (REA) tena kwa bei nafuu (27,000/=) sio bure; n ili jitihada hizo zitumike kwa faida kama hivi kuongeza wigo wa kodi. Faida ya kutumia njia hii kukusanya kodi za majengo ni kubwa kuliko kutumia njia nyingine.Sasa itakuaje kwa nyumba zisizo na umeme ama choose zenye umeme
Kodi rafiki sana hii isiyo ya dhuluma au uonevu!Si mnademka humu kushangilia?
Lipeni kodi,!
Hata hivyo hiyo kodi inawakomoa mataga pekee, bavicha wao wako na mama