Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kwa hiyo chumba kimoja cha saluni au flemu kama kina luku yake kitalipia kodi ya jengo. ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu ukizingatia hii bajeti itawaumiza wanaodemka kwenye kaburi la marehemu pekeeMama oyeeee, na wewe kademkie chato kwenye kaburi la dhalimu nduli
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Aulizwe MwiguluKwa hiyo chumba kimoja cha saluni au flemu kama kina luku yake kitalipia kodi ya jengo. ?
Hahahahahahaaaaa ejooooKuna siku watasema sukari itawekwa moja kwa moja kwenye maji ya bomba ili tusinunue madukani
Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
Kwani wapangaji wako wakilipa kodi unapata shida ganinina nyumba 5 , 2 Kyela , 3 Dsm , kati ya hizo 1 ya Kyela na 1 ya Tandika naishi mwenyewe , sasa hizi 3 kwanini wapangaji wangu wakatwe kodi ya jengo ?
Unalikataa peke yake,usitusemee na sisi, kwani Kuna sheria inaingilia makubaliano ya mwenye nyumba na mpangaj kuhusu Kodi ya pango?!Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri.
Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye nyumba hawamo kabisa, wanaokaa humo ni wapangaji tu, wanawezaje kulipishwa kodi ya jengo kupitia ununuzi wa umeme huku wakiwa si wenye nyumba?
Hata kama hela hiyo itakatwa kidogo kwa mtindo wa kudunduliza, lakini haipaswi kulipwa na wapangaji .
Hili lifafanuliwe au lifutwe tuweke utaratibu mwingine utakaowalipisha kodi ya majengo wahusika tu.
Braza we ni kichwaVipi kuhusu wale wanaoishi nyumba za serikali kama polisi, wanajeshi, Marc, Ras, mawaziri na makatibu wakuu wa wizara watakuwa wanalipia Kodi ya nyumba za serikali kupitia luku? Au Sheria hiyo imewabaguaje? Je, mashule, hospitali na ofisi za umma zinazonunua umeme wa luku nao watachangia Kodi za majengo ya umma wanunuapo luku?
Aliyelielewa hili anifafanulie tafadhali kwani sijabahatika kuisikia hotuba!
Tunamsubiri msemaji wa serikali afafanue hapaKitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri.
Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye nyumba hawamo kabisa, wanaokaa humo ni wapangaji tu, wanawezaje kulipishwa kodi ya jengo kupitia ununuzi wa umeme huku wakiwa si wenye nyumba?
Hata kama hela hiyo itakatwa kidogo kwa mtindo wa kudunduliza, lakini haipaswi kulipwa na wapangaji .
Hili lifafanuliwe au lifutwe tuweke utaratibu mwingine utakaowalipisha kodi ya majengo wahusika tu.
Mkuu nahisi we hata nyumba huenda hauna!, Hapo ulipopanga kama chumba Kodi efu Ishirini kwa mwezi, na malipo ni miezi sita, basi we lipa Tsh. Total 114,000/=✓hivi unazijua nyumba za kupanga linapofika suala la kununua umeme ?
Ivi nyie watu mnatakaje kwani???Yaani naona kabisa bajeti alizo kuja nazo ni mzigo kwa wanachi kuanzia Hili LA kodi ya jengo ukija LA. Laini za simu unaona kabisa huyu ni mzigo kwa watanzania ambao ni walala hoi.
Jiulize mtu amesaidiwa umeme wa LEA na wajukuu huko kijijini Leo unampa mzigo wa kulipi nyumba ambayo hata hadhi ya kuwekewa umeme ilikuwa haina.
Mungu atupe uvumilivu na hili maana naona mpango alifanya vitu ambayo vilikuwa haviendani na watanzania ila huyu kafanya ambavyo havipo kabisa Tanzania.
Kutakuwa na utaratibu maalumVipi kwa wale wanaoishi nyumba ambazo hazina umeme
Mkuu Nani kakuambia watalipia wapangaji???Bali wanaopaswa kulipa ni wenye nyumba si wapangaji , tafuteni namna ya kuwaengua wapangaji
Ni kujitoa ufahamu tu kwani wana ndugu zao wengi tu ni mafukara lakini wamebaki kutetea matumbo yao.Kuna wakati unajiuliza hivi hawa tunaita wasomi wa uchumi wanajua uchumi wa wananchi wao kweli au wanajua kuwa wote wamejenga na wana uhakika wa kula Milo mitatu kama wao
Mungu awape akili mpya hizi zilizo tumika wazitupe kule
Ukweli huenda hii ni njia rahisi zaidi na ya uhakika ya kukusanya kodi hiyo kuliko nyingine. Ni ukweli kuwa kodi zote zenye biashara, mlaji wa mwisho ndiye hulipa hiyo kodi. Badala ya mwenye nyumba kuongeza shilingi elfu kumi kwa kila mpangaji kwa mwezi kisa kodi hiyo, afadhali ikatwe kwenye luku kwani ni elfu 12 kwa mwaka tu. Naunga hoja mkono.Tunamsubiri msemaji wa serikali afafanue hapa
Exempted. Nyumba zao hazina thamani ya kulipia.Vipi kwa wale wanaoishi nyumba ambazo hazina umeme