TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,465
- 3,459
Sawa tu, madhali fedha iyo inaenda kutumika kwajili ya kununua madawa hospitalini na kuboresha miundombinu ya barabara, serikali mnataka ifanyaje nyie mijitu ya kulaumu kila kituuu?? Mi leo nimetoka kulipia kuunganishiwa umeme kwa bei mpya ya 27000/= kutoka 321000 , Sasa na ilo mbona hamlaumu???Hili ni tatizo, hapa mjini unakuta plot moja ya 20*30 in nyumba tano kila moja ina mita ya umeme, labda tatu kasajili kwa jina lake, moja la jina la mtoto, nyingine jina la mtoto mwingine. Hio Kodi ya jengo inakatwaje kwenye mazingira kama haya?