JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Kodi inalipwa na watanzania ambao ndo hao walalahoi. Watu milioni 60 wakichangia kidogo kidogo sanaa ina maana kubwa kuliko watu 300,000 wakilazimishwa kulipa kodi kubwa na kufungia account zao pale wanaposhindwa.Yaani naona kabisa bajeti alizo kuja nazo ni mzigo kwa wanachi kuanzia Hili LA kodi ya jengo ukija LA. Laini za simu unaona kabisa huyu ni mzigo kwa watanzania ambao ni walala hoi.
Jiulize mtu amesaidiwa umeme wa LEA na wajukuu huko kijijini Leo unampa mzigo wa kulipi nyumba ambayo hata hadhi ya kuwekewa umeme ilikuwa haina.
Mungu atupe uvumilivu na hili maana naona mpango alifanya vitu ambayo vilikuwa haviendani na watanzania ila huyu kafanya ambavyo havipo kabisa Tanzania.