Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,806
- 4,670
Km una mshahara wa 270,000 baada ya makato ya nssf unalipa zero PAYE...zamani ilikua 170k...nimekuwekea na link ya TRA for reference, weka 270k uone unapata kodi kiasi gani.Sina taarifa kwamba kuna watu hawalipi PAYE, unaweza kunifahamisha ni wapi hao....na kwa nini mishahara yao haikatwi kodi? na kwa nini hao wengine walipe 8%...
Link: PAYEE Calculator
Kuanzia 270,100/= analipa Tsh 9/= na kuendelea kulingana na mshahara wako
Kwann: hilo swali waulize watunga sheria za kodi akiwemo mbunge wako.
Km ulikua hujui now you know.