Jana kwenye bajeti iliyopendekezwa na Serikali, wamependekeza tozo ya shilingi 1000-3000 kwenye ving'amuzi kulingana na kifurushi mtu ananunua. Serikali tayari inakusanya kodi kwenye haya makampuni na pia inakusanya VAT kila mteja anaponunua king'amuzi au kifurushi, kumuongezea tozo itakuwa kumfanyia 'double taxation'.
Pia si afya Serikali kuamini tozo kutimiza majukumu yake, inamuumiza mwananchi lakini zinadumaza sekta na matumizi ya teknolojia.
KICHEKESHO
Mkurugenzi wa DStv anaishauri Serikali hadharani jinsi ya kuwaumiza wateja, labda wanaona wanapitwa na wanaoachia free chanels lakini ile ni biashara na kila mtu ana namna yake ya kuendesha biashara yake.
Kuzisabotage kampuni nyingine zifanye kama wao kukata free chanels kifurushi kinapoisha haijakaa njema. Kama wao wameshindwa waache wanaoweza.
Kwa Serikali kufanya hivi watajichonganisha na wananchi, lipo kundi kubwa haliwezi kulipa na ving'amuzi vitakuwa mapambo na biashara ya wateja wapya itashuka.

Kwani mzee Baraka Shamte yuko wapi baada ya kutoa maoni yake juzi, Ndugai yuko wapi baada ya kutoa maoni.
Vipi waziri wa NONSENSE aliyetukanwa baadaya ya kusimamia sheria.
Vipi wale madiwani tisa wa Loliondo wamepatikana.
Haaa nikupe maajabu mengine kwenye vita wa MKUKI anaua mwenye BUNDUKI mwenye BUNDUKI anaishia kumjeruhi mwenye mkuki.
Chawa upo hapo? tuiombe serikali inunue MIKUKI iachane na BUNDUKI maana MIKUKI imekuwa bora zaidi katika MEDANI
Kwani mzee Baraka Shamte yuko wapi baada ya kutoa maoni yake juzi, Ndugai yuko wapi baadaya kutoa maoni.
Vipi waziri wa NONSENSE aliyetukanwa baadaya ya kusimamia sheria.
Vipi wale madiwani tisa wa Loliondo wamepatikan.
Haaa nikupe maajabu mengine kwenye vita wa MKUKI anaua mwenye BUNDUKI mwenye BUNDUKI anaishia kumjeruhi mwenye mkuki.
Chawa upo hapo? tuiombe serikali inunue MIKUKI iachane na BUNDUKI maana MIKUKI imekuwa bora zaidi katika MEDANI
Ni ujinga kuutumia uhuru vibaya.
Sasa akishauri muuawe uhuru wake wa mawazo una tija gani?
Serkali ione namna ya kupata pesa sio double taxation kwa watu wa kawaida na kuacha wenye mitaji mikubwa wakila kwa mirija.
Kuna haja gani ya matumizi yasio lazima ya serkali ya matumizi mabaya ya V8 na safari zisizo na maana kila siku nje ya nchi
Hivi madelu bila wazungu kuleta hii teknolojia ya mitandao angekusanya kodi kweli? haiingii akilini sasa hii mifumo inatumika kumnyang'anya mwananchi hata kile kidogo alichonacho asiweze hata kufanya saving.
KUWA NA BAJETI NZURI NI PAMOJA NA KUPUNGUZA MATUMIZI,
1. SAFARI
2.MATUMUZI YA MAGARI YA KIFAHARI NA MARUPURUPU.
SIO KILA SIKU KUANGALIA KUONGEZA TOZO KUFIDIA UKUBWA WA SERIKALI