BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi

Jana kwenye bajeti iliyopendekezwa na Serikali, wamependekeza tozo ya shilingi 1000-3000 kwenye ving'amuzi kulingana na kifurushi mtu ananunua. Serikali tayari inakusanya kodi kwenye haya makampuni na pia inakusanya VAT kila mteja anaponunua king'amuzi au kifurushi, kumuongezea tozo itakuwa kumfanyia 'double taxation'.

Pia si afya Serikali kuamini tozo kutimiza majukumu yake, inamuumiza mwananchi lakini zinadumaza sekta na matumizi ya teknolojia.

KICHEKESHO
Mkurugenzi wa DStv anaishauri Serikali hadharani jinsi ya kuwaumiza wateja, labda wanaona wanapitwa na wanaoachia free chanels lakini ile ni biashara na kila mtu ana namna yake ya kuendesha biashara yake.

Kuzisabotage kampuni nyingine zifanye kama wao kukata free chanels kifurushi kinapoisha haijakaa njema. Kama wao wameshindwa waache wanaoweza.

Kwa Serikali kufanya hivi watajichonganisha na wananchi, lipo kundi kubwa haliwezi kulipa na ving'amuzi vitakuwa mapambo na biashara ya wateja wapya itashuka.

Licha ya kuweza kulipia, salio wengi hawahitaji chaneli za ziada.
Taarifa ya Habari na matangazo kama ya redion yanatutosha.
 
Jana kwenye bajeti iliyopendekezwa na Serikali, wamependekeza tozo ya shilingi 1000-3000 kwenye ving'amuzi kulingana na kifurushi mtu ananunua. Serikali tayari inakusanya kodi kwenye haya makampuni na pia inakusanya VAT kila mteja anaponunua king'amuzi au kifurushi, kumuongezea tozo itakuwa kumfanyia 'double taxation'.

Pia si afya Serikali kuamini tozo kutimiza majukumu yake, inamuumiza mwananchi lakini zinadumaza sekta na matumizi ya teknolojia.

KICHEKESHO
Mkurugenzi wa DStv anaishauri Serikali hadharani jinsi ya kuwaumiza wateja, labda wanaona wanapitwa na wanaoachia free chanels lakini ile ni biashara na kila mtu ana namna yake ya kuendesha biashara yake.

Kuzisabotage kampuni nyingine zifanye kama wao kukata free chanels kifurushi kinapoisha haijakaa njema. Kama wao wameshindwa waache wanaoweza.

Kwa Serikali kufanya hivi watajichonganisha na wananchi, lipo kundi kubwa haliwezi kulipa na ving'amuzi vitakuwa mapambo na biashara ya wateja wapya itashuka.

Nashauri mabadiliko yafanyike wizara ya FEDHA alotewe Mwigu aletwe MH KIMEI.

Sa100 Anapiga U-Turn Kwa Kasi kuangalia wananchi wanasema nn anashughulikia japo Si kivile bt Kuna kitu anafanya.

Bt huyu mwigu analazimisha kuzamisha CHOMBO, hamuoni hujuma hizo?
 
Free chanels lazima ziwepo ili televisheni ya taifa kwa mfano iweze kutumika kufanikisha malengo ya serikali, wananchi wajue serikali inafanya nini kwa wakati huo. Yaani hawa wapuuzi wanataka hadi haki ya wananchi kupata mrejesho serikalini wainunue.shame.
 
Kaiona factor moja tu lkn hajaangalia factors nyingine.shameful.
Jana kwenye bajeti iliyopendekezwa na Serikali, wamependekeza tozo ya shilingi 1000-3000 kwenye ving'amuzi kulingana na kifurushi mtu ananunua. Serikali tayari inakusanya kodi kwenye haya makampuni na pia inakusanya VAT kila mteja anaponunua king'amuzi au kifurushi, kumuongezea tozo itakuwa kumfanyia 'double taxation'.

Pia si afya Serikali kuamini tozo kutimiza majukumu yake, inamuumiza mwananchi lakini zinadumaza sekta na matumizi ya teknolojia.

KICHEKESHO
Mkurugenzi wa DStv anaishauri Serikali hadharani jinsi ya kuwaumiza wateja, labda wanaona wanapitwa na wanaoachia free chanels lakini ile ni biashara na kila mtu ana namna yake ya kuendesha biashara yake.

Kuzisabotage kampuni nyingine zifanye kama wao kukata free chanels kifurushi kinapoisha haijakaa njema. Kama wao wameshindwa waache wanaoweza.

Kwa Serikali kufanya hivi watajichonganisha na wananchi, lipo kundi kubwa haliwezi kulipa na ving'amuzi vitakuwa mapambo na biashara ya wateja wapya itashuka.

DSTV ni January Makamba
 
Hebu tuelezee hii,maana nchi inachosha kwa Kodi sasa
Hii ni dekoda ya nchi zinazozungumza Kifaransa!
Bei yake ya vifurushi ni nafuu kuliko kwetu kutokana na kodi.
Kwenye malipo ni changamoto ingawa ukilipia mwaka mzima kunakua na unafuu.
Wengi wanatumia dekoda za Burundi kwa ajili ya exchange rate.
 
Jana kwenye bajeti iliyopendekezwa na Serikali, wamependekeza tozo ya shilingi 1000-3000 kwenye ving'amuzi kulingana na kifurushi mtu ananunua. Serikali tayari inakusanya kodi kwenye haya makampuni na pia inakusanya VAT kila mteja anaponunua king'amuzi au kifurushi, kumuongezea tozo itakuwa kumfanyia 'double taxation'.

Pia si afya Serikali kuamini tozo kutimiza majukumu yake, inamuumiza mwananchi lakini zinadumaza sekta na matumizi ya teknolojia.

KICHEKESHO
Mkurugenzi wa DStv anaishauri Serikali hadharani jinsi ya kuwaumiza wateja, labda wanaona wanapitwa na wanaoachia free chanels lakini ile ni biashara na kila mtu ana namna yake ya kuendesha biashara yake.

Kuzisabotage kampuni nyingine zifanye kama wao kukata free chanels kifurushi kinapoisha haijakaa njema. Kama wao wameshindwa waache wanaoweza.

Kwa Serikali kufanya hivi watajichonganisha na wananchi, lipo kundi kubwa haliwezi kulipa na ving'amuzi vitakuwa mapambo na biashara ya wateja wapya itashuka.

Nakubaliana nao kabisa, hakuna cha chanel za bure labda TBC
 
Nashauri mabadiliko yafanyike wizara ya FEDHA alotewe Mwigu aletwe MH KIMEI.

Sa100 Anapiga U-Turn Kwa Kasi kuangalia wananchi wanasema nn anashughulikia japo Si kivile bt Kuna kitu anafanya.

Bt huyu mwigu analazimisha kuzamisha CHOMBO, hamuoni hujuma hizo?
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Kila uzi unataka KIMEI KIMEI.

Yaan kituko, LIPUMBA akae benchi afu KIMEI awe Waziri wa Fedha.
 
DStv ni kuwatema tu sasa. Mambo yote startimes.
Mwigulu hana kikosi kazi cha kufikiria watoze wapi au dola inawabeba matajiri na makampuni makubwa sana mpaka unahisi zipo 10% za kutosha pale
 
Mlalahoi tangu lina akamiliki king'amuzi??? Yaan huna hili wala lile utoe 170k kununua Azam decoder??

Jengeni nchi yenu Mbwa nyie, acheni kulia lia na kupenda vya bure.
Usimchukulie poa mlalahoi unaemwita mbwa ndiye anayemlipa mshahara no 1.

Huyo huyo mlalahoi pesa yake ndo inatumika kuwalipa watukanaji humu jukwaani.

Mlalahoi ndo Kila kitu, Muda Umefika wa Mlalahoi kuwawajibishwa wanufaika wa Kodi anayolipa.Amen
 
Mlalahoi gani analipa kodi??

Hawalipi Kodi ya majengo, hawalipi kodi ya mapato, hawalipi ada ya shule nk

Sasa wewe mlalahoi yupi unayesema anakamuliwa na kodi??
 
Jana kwenye bajeti iliyopendekezwa na Serikali, wamependekeza tozo ya shilingi 1000-3000 kwenye ving'amuzi kulingana na kifurushi mtu ananunua. Serikali tayari inakusanya kodi kwenye haya makampuni na pia inakusanya VAT kila mteja anaponunua king'amuzi au kifurushi, kumuongezea tozo itakuwa kumfanyia 'double taxation'.

Pia si afya Serikali kuamini tozo kutimiza majukumu yake, inamuumiza mwananchi lakini zinadumaza sekta na matumizi ya teknolojia.

KICHEKESHO
Mkurugenzi wa DStv anaishauri Serikali hadharani jinsi ya kuwaumiza wateja, labda wanaona wanapitwa na wanaoachia free chanels lakini ile ni biashara na kila mtu ana namna yake ya kuendesha biashara yake.

Kuzisabotage kampuni nyingine zifanye kama wao kukata free chanels kifurushi kinapoisha haijakaa njema. Kama wao wameshindwa waache wanaoweza.

Kwa Serikali kufanya hivi watajichonganisha na wananchi, lipo kundi kubwa haliwezi kulipa na ving'amuzi vitakuwa mapambo na biashara ya wateja wapya itashuka.

Aseme kuwa free channels zinawanyima hela sababu watu hawatalipia kifurushi laki 1 which is true. Kodi zimekuwa za lazima sasa yani tunawekeana kodi katika huduma zote hata zile za msingi. Huu ni uzwazwa
 
NCHI NI KODI, MAENDELEO NI KODI.
MSIPENDE MTEREMKO.
 
Back
Top Bottom