BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi

Wafurumushwe waende kwao hawa.

Yalikuwa yanatafuta upenyo wa kuendeleza wizi wao majambazi haya makubwa..
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] Kila uzi unataka KIMEI KIMEI.

Yaan kituko, LIPUMBA akae benchi afu KIMEI awe Waziri wa Fedha.
Kwamba Lipumba awe Waziri wa Fedha? Naheshimu maoni Yako.

Bt Kwa sasa Dr KIMEI Bado Yuko juu kuact. Lipumba anafaa kuwa mshauri.

Bt sauti hii inaleta impact kubwa sana, ktk wengi wasiojua kuwa Mwananchi ndo BOSS wa viongozi wote. Amen
 
Oya, Kimei hamna kitu kichwani. Kama humjui piga kimya.
 
Jana kwenye bajeti iliyopendekezwa na Serikali, wamependekeza tozo ya shilingi 1000-3000 kwenye ving'amuzi kulingana na kifurushi mtu ananunua. Serikali tayari inakusanya kodi kwenye haya makampuni na pia inakusanya VAT kila mteja anaponunua king'amuzi au kifurushi, kumuongezea tozo itakuwa kumfanyia 'double taxation'.

Pia si afya Serikali kuamini tozo kutimiza majukumu yake, inamuumiza mwananchi lakini zinadumaza sekta na matumizi ya teknolojia.

KICHEKESHO
Mkurugenzi wa DStv anaishauri Serikali hadharani jinsi ya kuwaumiza wateja, labda wanaona wanapitwa na wanaoachia free chanels lakini ile ni biashara na kila mtu ana namna yake ya kuendesha biashara yake.

Kuzisabotage kampuni nyingine zifanye kama wao kukata free chanels kifurushi kinapoisha haijakaa njema. Kama wao wameshindwa waache wanaoweza.

Kwa Serikali kufanya hivi watajichonganisha na wananchi, lipo kundi kubwa haliwezi kulipa na ving'amuzi vitakuwa mapambo na biashara ya wateja wapya itashuka.

Doo salareee twafaaa
 
Oya, Kimei hamna kitu kichwani. Kama humjui piga kimya.
Ndugu,Natumia UHURU wangu Kutoa maoni nilopewa KIKATIBA.

Dr KIMEI alipoitoa CRDB Hadi alipoifikisha Yuko poa, mwigu'' arudi kufanya uharakati uvccmmmm panamfaa sana. Amen
 
Huyo katumwa kuiharibia DSTV baada ya kununuliwa
 
Hili jamaa ni kubwa jinga Sana......sijui ni li raia la wapi........SASA nawasubilia mje mpige simu zenu zile za kingese ngese mje kuuliza mbona ujalipa king'amuzi chako ndio watajua Mimi Nani........hawataki tuangalie local channel zetu kwani tumewalazimisha kuturetea mipengo Yao......kubavu sana
 
Mlalahoi gani analipa kodi??

Hawalipi Kodi ya majengo, hawalipi kodi ya mapato, hawalipi ada ya shule nk

Sasa wewe mlalahoi yupi unayesema anakamuliwa na kodi??
Ngoja ELIMU iendelee.

Mlalahoi akinunua kiberiti kijijini analipa Kodi.

Akinunua nguo za mitumba TRA washachukua Chao.

Mlalahoi analipa Hadi magari ya wabunge ambayo hayazimwi japo Yeye anapekua.

Mlalahoi analipa Kodi anaponunua mbolea ilopanda Bei Kwa 400,%

Mlalahoi Kodi alipayo inajenga hospitali ,inalipa madaktari,nk lakini Ikitokea ndugu yake amefariki, mwili hautoki Hadi alipe Senti ya MWISHO.

Wote walolala wataamka na kudai HAKI Yao. Amen
 
Kwanza naangalia tv ili iweje naweza kukaa mwezi sijaiwasha wakipandisha data ndo huwa nadata ila matv yako hata wakitaka waje wabebe shwain.
 
Hii ni dekoda ya nchi zinazozungumza Kifaransa!
Bei yake ya vifurushi ni nafuu kuliko kwetu kutokana na kodi.
Kwenye malipo ni changamoto ingawa ukilipia mwaka mzima kunakua na unafuu.
Wengi wanatumia dekoda za Burundi kwa ajili ya exchange rate.
OK,asante
 
Ndugu,Natumia UHURU wangu Kutoa maoni nilopewa KIKATIBA.

Dr KIMEI alipoitoa CRDB Hadi alipoifikisha Yuko poa, mwigu'' arudi kufanya uharakati uvccmmmm panamfaa sana. Amen
Ilikuwa hoi ndio maana akabwaga Manyanga, ushindani ulikuwa mkubwa mno, NMB wa moto benki kibao zinakimbiza kwa huduma bora.
 
Ngoja ELIMU iendelee.

Mlalahoi akinunua kiberiti kijijini analipa Kodi.

Akinunua nguo za mitumba TRA washachukua Chao.

Mlalahoi analipa Hadi magari ya wabunge ambayo hayazimwi japo Yeye anapekua.

Mlalahoi analipa Kodi anaponunua mbolea ilopanda Bei Kwa 400,%

Mlalahoi Kodi alipayo inajenga hospitali ,inalipa madaktari,nk lakini Ikitokea ndugu yake amefariki, mwili hautoki Hadi alipe Senti ya MWISHO.

Wote walolala wataamka na kudai HAKI Yao. Amen
Sasa hiyo nani ambaye halipi wewe mwehu?? Unakuja hapa unazungumzia INDIRECT TAXES??

Na ulivyo mjinga unadhani kila bidhaa inachajia VAT.

VAT iko katika bidhaa chache sio zote, mfano PEMBEJEO HAZINA VAT.

Au na ukilaza wako umekaririshwa kila ununuacho kuna VAT??
 
Enzi za Giza hazijaisha.

Uhuru wa maoni uko wapi, mbona alipotezwa na WASIOJULIKANA, amekuja patikana kavunjwa mguu.

Kafukuzwaje chama kama upo uhuru wa maoni?

Nyumbu akikaririshwa njia ni hii, hakwepeshi hata kama ANAONA SHIMO.
Mkuu wangu itoshe kusema kuwa unaona mbali
 
KUWA NA BAJETI NZURI NI PAMOJA NA KUPUNGUZA MATUMIZI,
1. SAFARI
2.MATUMUZI YA MAGARI YA KIFAHARI NA MARUPURUPU.
SIO KILA SIKU KUANGALIA KUONGEZA TOZO KUFIDIA UKUBWA WA SERIKALI
Hii bajeti yao ukiisikiliza kiushabiki wa kisiasa ni majanga maana amesema issue ya kupunguza safari na kufanya vikao vya TEHEMA huku baadae tena mbele amepandisha posho ya kujikimu ya safari kutoka 120,000 mpaka 250,000, hapo maana yake hakuna kitu kilipunguzwa maana mtu kama alikuwa anafanya safari 20 kwa mwaka zenye siku 3 kila safari, hata akipunguza safari zikawa 10 kwa mwaka wa fedha ujao bado gharama inabaki mule mule

Na wakisafiri hata maeneo ambayo kuna usafiri wa anga lakini wanatumia magari
 
Tunahitaji bajeti.....inayoangalia mwananchi zaidi kuliko serikali...
 
Enzi za Giza hazijaisha.

Uhuru wa maoni uko wapi, mbona alipotezwa na WASIOJULIKANA, amekuja patikana kavunjwa mguu.

Kafukuzwaje chama kama upo uhuru wa maoni?

Nyumbu akikaririshwa njia ni hii, hakwepeshi hata kama ANAONA SHIMO.
Duh
 
Back
Top Bottom