Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team Upigaji na Dhaifu ya Jumong imeanza kuja na vicngzio kuficha Uzembe wao wa UokoajiAthari za maamuzi ya Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Team Wapgaji, Team Mgao Umeme na Maji, Team Wazembe,Athari za maamuzi ya Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Una akili ya mende kula kabatini na kulala kwenye mtaro wa choo, huwezi jua kinachoongelewa.This is just over the top.! Acheni use*ge nyie wapumbavuuuu
Tatizo ni uwanja au hitilafu kwenye ndege?,kisha rubani kaona badala ya kuitamiza nchi kavu akaona ni bora ajaribu kwenye maji kuondoa mshinDo,Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Kwamba Chato haitakiwi kuwa na uwanja wa ndega?Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Hata mazingira ya uwanja yalichangia poor landingTatizo ni uwanja au hitilafu kwenye ndege?,kisha rubani kaona badala ya kuitamiza nchi kavu akaona ni bora ajaribu kwenye maji kuondoa mshinDo,
Nafikiri mleta uzi busara imekwisha kichwani mwako umabakiza hira,wivu,na uchawi ,majungu, fitina,dhidi ya marehemu baada ya kutemeshwa job kwa vyeti fake,wewe ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Mnapambana na marehemu na bado kawashinda.Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Pumbavu kwahiyo matairi ya precision air yamegoma kutoka sababu ya kujenga uwanja chato?Legasi oyeee
Wazee wa legasi watakupiga za uso.Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Wazee wa legasi povu ruksa.Pumbavu kwahiyo matairi ya precision air yamegoma kutoka sababu ya kujenga uwanja chato?
Legasi oyeee
Mimi naona wewe ndio takataka kabisa,uwanja wa cuato ulikuwa kwenye bajeti gani?Tatizo ni uwanja au hitilafu kwenye ndege?,kisha rubani kaona badala ya kuitamiza nchi kavu akaona ni bora ajaribu kwenye maji kuondoa mshinDo,
Nafikiri mleta uzi busara imekwisha kichwani mwako umabakiza hira,wivu,na uchawi ,majungu, fitina,dhidi ya marehemu baada ya kutemeshwa job kwa vyeti fake,wewe ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
😂😂Mambo ya legacy hayo 👇Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Kwahiyo ungejengwa huo uwanja, hichi kiwanja cha ndege ilipo dondika precision kingekua soko?Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Takataka!.Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.