Bajeti iliyojenga Uwanja wa Chato, ilipangwa kujenga Uwanja wa Omkajunguti Mkoani Kagera

Bajeti iliyojenga Uwanja wa Chato, ilipangwa kujenga Uwanja wa Omkajunguti Mkoani Kagera

Tatizo ni uwanja au hitilafu kwenye ndege?,kisha rubani kaona badala ya kuitamiza nchi kavu akaona ni bora ajaribu kwenye maji kuondoa mshinDo,

Nafikiri mleta uzi busara imekwisha kichwani mwako umabakiza hira,wivu,na uchawi ,majungu, fitina,dhidi ya marehemu baada ya kutemeshwa job kwa vyeti fake,wewe ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Hivi matokeo ya uchunguzi yameshatolewa na kubainika kuwa ndege ilikuwa na hitilafu?
 
Tusimseme Marehemu tu, hata huyu naye kakopa kujenga uwanja kule kwao, mkopo utalipwa na tz
 
Kwahiyo ungejengwa huo uwanja, hichi kiwanja cha ndege ilipo dondika precision kingekua soko?

Irresponsibility inataka iwalevye mtuambukize na sisi si ndio?

Take accountability for this mistake first then anza kutafuta wa kumtupia lawama.
Akili yako ya mende anakula kabatini halafu analala kwenye mtaro wa choo au septic tank, haiwezi kuelewa mantiki ya thread hii. Nenda chit chat na celebrities forum ndiyo saizi yako
 
Kwahiyo mlitaka muwe na viwanja vya ndege viwili? Kwa uchumi upi wa Kagera? Huu uliopo upo underutilized!
 
Uchepushaji wa bajeti umeleta hasara ya maisha ya watu na mali
 
Wapumbavu wanazidi kuongezeka tu siku hadi siku.Uzembe mfanye ninyi halafu msingizie marehemu ndiyo kasababisha.Na uhaba wa maji Dar atasingiziwa jpm.
 
Nshomire mtaendelea kuwa wapumbavu mpaka lini? Kuna kitu gani cha maana Kagera mjengewe viwanja viwili na si sehemu kama Kigoma?
Ndomaana nimekwambia hujui lolote,uho uwanjani ni plan ya East Africa maana ukijengwa faida kubwa tunapata
 
Akili yako ya mende anakula kabatini halafu analala kwenye mtaro wa choo au septic tank, haiwezi kuelewa mantiki ya thread hii. Nenda chit chat na celebrities forum ndiyo saizi yako
Wewe, hata mimi matusi nayajua tena kuliko unavyodhani maana ntaanza na aliekufanya ukaleta huo ubongo wako duniani ntamalizia na ukoo wako.

Kama ustaarabu huujui bora ukae pembeni sio unakuja kutukana watu. Matusi ni kama mate kila mtu anayo nikikujibu hapa jf itanishangaa.
huwezi kuwa great thinker then unaita watu wana ubongo wa mende. Nimekustahi kwasababu naheshimu watu wanaosoma hizi nyuzi. Shika adabu yako! Na uishikilie haswa.
 
Ndomaana nimekwambia hujui lolote,uho uwanjani ni plan ya East Africa maana ukijengwa faida kubwa tunapata
Hebu leta vielelezo hivyo kwamba ni plan ya East Africa na si wale Nshomire wa TAA? Uwanja wa Bukoba haujaweza kuwa na daily direct flights toka Dar mwaka wa tisa sasa, flights zake zinaunganishwa na za Mwanza, yet Nshomire anataka Omkajunguti international airport! Fool wacha ujinga!
 
Hata mazingira ya uwanja yalichangia poor landing
Uwanja ule ni shida ni mfupi,Pia ukichanganya hali ya hewa haswa ngurumo,radi,upepo mkali,mvua kubwa.
Kutoka ukoloni hadi miaka tu karibuni uwanja ulipangwa kujengwa eneo mleta hoja aliolitaja,
Mara nyingi ndege hushindwa kutua na kurudi Mwanza.
Siku yakitokea majanga kama akiwemo mtu mkubwa ndio serikali itaamka.
 
Hebu leta vielelezo hivyo kwamba ni plan ya East Africa na si wale Nshomire wa TAA? Uwanja wa Bukoba haujaweza kuwa na daily direct flights toka Dar mwaka wa tisa sasa, flights zake zinaunganishwa na za Mwanza, yet Nshomire anataka Omkajunguti international airport! Fool wacha ujinga!
Hujui lolote kuhusu Ili piga kimya
 
Back
Top Bottom