Bajeti iliyojenga Uwanja wa Chato, ilipangwa kujenga Uwanja wa Omkajunguti Mkoani Kagera

Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Tujiepushe na watu wanaopenda kukaa vijiwe vya kahawa
 
Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.

Kwa uchumi wa kagera hata huo uwanja ni mkubwa sana hakupaswi kuwa na uwanja zaidi ya huo
 
Imagine mtu mpumbavu kama wew ndo uwe mkuu wa mkoa wa kagera! Au katibu tawala ! Au sijui kitu gani....

Tanzania bado tuna kazi kubwa ya kuwafanya watu wawe na exposure....

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Mmefeli vibaya mnoo. Awamu ya mpito kazi yenu kusafiri tu ndio mnachojua.
 
Back
Top Bottom