Tujiepushe na watu wanaopenda kukaa vijiwe vya kahawaAthari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
nataka kujua leta vielelezo!Hujui lolote kuhusu Ili piga kimya
Mdanataka kujua leta vielelezo!
Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
Imagine mtu mpumbavu kama wew ndo uwe mkuu wa mkoa wa kagera! Au katibu tawala ! Au sijui kitu gani....Kwa uchumi wa kagera hata huo uwanja ni mkubwa sana hakupaswi kuwa na uwanja zaidi ya huo
Ww unachojua ni kipi em nionyeshe nkione kabla ujaendelea kutoa mashuzi ya njugumawe ulizokula usikuKama hujui kitu Kaa kimya ili ufiche ujinga wako.
Hii ni ajari ya sita...Hayo mazingira ya uwanja umesababisha ajali ngap mpaka muda huu.?
Huyu asikupotezee mda NdgHii ni ajari ya sita...
Na toka uwanja umepanuliwa hii ni ajali ya pili...
Kuna ile ya Auric ya 2016..ingawa watu walipona
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mmefeli vibaya mnoo. Awamu ya mpito kazi yenu kusafiri tu ndio mnachojua.Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
UselessAthari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.