Muungwana anachomekea kidogo kidogo terminology za kiingereza kama vile 'uchumi wa dunia umedecline kwa 3.8%' etc, sasa sijui hawa wazee wote wanamuelewa au vipi!!
Naona nayo imegoma kufunguka. Yaani inafanya buffering mpaka 100% then inarudi kuanza upya. Why?? Kwa nini???