Muungwana anachomekea kidogo kidogo terminology za kiingereza kama vile 'uchumi wa dunia umedecline kwa 3.8%' etc, sasa sijui hawa wazee wote wanamuelewa au vipi!!
So serikali imejipangake kumitigate effects za huko kudecline kwa uchumi au ndio business as usual? Au ndio tutulie tuli kwa kuwa hatutaathirika na huo mdororo kama alivyotuhakikishiaga mkulo some months ago? Ama kweli nadni ya huu mtandao tutaona kila aina ya rangi ya viongozi, wenye nazo na hamnazo pia.