Bajeti ya 2009/2010 Tanzania

Bajeti ya 2009/2010 Tanzania

Muungwana anachomekea kidogo kidogo terminology za kiingereza kama vile 'uchumi wa dunia umedecline kwa 3.8%' etc, sasa sijui hawa wazee wote wanamuelewa au vipi!!

So serikali imejipangake kumitigate effects za huko kudecline kwa uchumi au ndio business as usual? Au ndio tutulie tuli kwa kuwa hatutaathirika na huo mdororo kama alivyotuhakikishiaga mkulo some months ago? Ama kweli nadni ya huu mtandao tutaona kila aina ya rangi ya viongozi, wenye nazo na hamnazo pia.
 
Uchumi utakuwa kwa 3.5/.6 kutoka 7 kutokana na crunch
 
Katika kukabili athari serikali itapunguza makali, kulinda uwekezaji katika kutathimini matatizo ya mpito.

Serikali kwa sasa inashughulikia matatizo yaliyotokana na mtikisiko wa uchumi na si mengine
 
Ajira

chakula

uwekezaji wa maendeleo

na program za kijamii

hayo ndio yatakayofanyika kutibu athari za mtikisiko
 
Serikali inaahidi kufidia hasara walizopata vyama vya ushirika, 21.900 bl zitalipwa na serikali kwa mabenki yaliyokopesha vyama vya ushrika na makampuni,
 
Hapo kwenye kufidia Makampuni ndiyo UFISADI Utaanzia hapo. Vyama vya ushirika sina hofu sana ingawana kwenywe siyo salama saaaana
 
Malipo hayatahusisha madeni ya zamani ambayo hayahusishwi na mtikisiko
 
Serikali pia inaahidi kutoa udhamini wa madeni viwanda, sekta ya utalii, yenye thamani ya bln 270
 
Ahsante mkuu kw link,
Nipo huku kwa Maza Merkel, namsikia jk live
 
Hakuna jipya bali ni kuwaweka sawa Wabunge wa CCM waipitishe hiyo bajeti itakayotangazwa kesho maana kuna baadhi ya Wabunge wameshaanza kuiwekea mikwara.
 
Sijui kwa wengine, ila mie ninavyosikia hii hotuba mbona ipo kisaniii sana. Hana ile authority na seriousness.... tumekwishaaa!!!
 
JK anasema madeno yote yatadhaminiwa na serikali...hapa si kuunda EPA nyingine? Lakini pia naona mambo mengi anayozungumza ana-priempty hotuba ya Waziri wa Fedha (ya bajeti) kesho.
 
Anaendelea kufafanua kwa nini serikali itadhamini madeni
 
Back
Top Bottom