Neno 'mrahaba' mhe amelichanganya na 'mrabaha', akauliza ukumbi ni 'mrahaba' au 'mrabaha'?. Ukumbi ukajibu, 'mrahaba' akasema haya hivyo hivyo 'mrabaha' ukumbi ukaanguka kicheko che furaha ya kosa la kibinadamu.
Wana jamvi, lazima tukubali JK ni carismatic akiongea very serious issues huku akismile na kuongea jockingly ila mpaka sasa so well so good.
Ushauri kwa wenzangu na mimi tusiojua uchumi, hapa rais anatangaza stumulus package kustabilize uchumi wa taifa dhidi ya athari za mtikisiko wa kiuchumi.
Hapa zinashuka nondo nene za kiuchumi, ni mafigure na mafigure ya mabilioni kwa mabilioni. Bila mchumi kulevel down kwenye undestanding ya mtu wa kawaida, wengine mnaanza ku-preempt criticism huku hutuba inaendelea, this is unfair. Tumsikilize, wachumi wamchambue ndipo tufikie suluhisho, hakuna jipya au pumba zipi mchele upi, tuendelee kusikiliza,
Mimi japo si mchumi, nadhani hii hotuma makes serious sense.