What neophytes like you don't understand is that that debt you are crying about is actually used to finance infrastructural development. So instead of focussing your attention on the $6 billion development expenditure, you should have asked yourself how many projects that $12 billion annual debt repayment has financed.Ok ... three times.
Same concept.
Mr Wivu karibu kwenye uzi.Mipango siyo matumizi.
mzee umesahau uwekezaji kiwanda cha bia wa InBrew Dodoma? Upunguzaji huu upo strategic kuliko inavyoonekana! Unakumbuka hili ?alafu kuna watu wanakata viuno wanasherehekea bia imepunguzwa bei 🤣 🤣 🤣
yani jero za kwenye bia zinawafanya watu wazima wanakata viuno na kusahau mbinyo wa maeneo mengine mengi.mzee umesahau uwekezaji kiwanda cha bia wa InBrew Dodoma? Upunguzaji huu upo strategic kuliko inavyoonekana!
wacha dharau mshikaji uchumi hauangaliki hivyo jaribu kufikiria job creation chain toka mlima ngano au mlima mtama kwenda kiwandani halafu kwenda usambazaji mpaka mwenye baa na pia muuza baa (barmaids) na indirect (nyama choma joints)! Hivi ni vitu vinahitaji uelewa mkubwa wa multiplying effect behind! Wacha kuropoka mshikaji tena ukiwa ni nchi ya Utalii! Mwigulu Nchembe si mjinga!yani jero za kwenye bia zinawafanya watu wazima wanakata viuno na kusahau mbinyo wa maeneo mengine mengi.
chief utanisamehe bure kwa kweli, yani bajeti zaidi ya 90% ni matumizi ya kawaida alafu watu wazima wanakenua kama Tarzmania?wacha dharau mshikaji uchumi hauangaliki hivyo jaribu kufikiria job creation chain toka mlima ngano au mlima mtama kwenda kiwandani halafu kwenda usambazaji mpaka mwenye baa na pia muuza baa (barmaids) na indirect (nyama choma joints)! Hivi ni vitu vinahitaji uelewa mkubwa wa multiplying effect behind! Wacha kuropoka mshikaji tena ukiwa ni nchi ya Utalii! Mwigulu Nchembe si mjinga!
budget ipi hiyo ya tanzania au ya Kenya? Be specific!chief utanisamehe bure kwa kweli, yani bajeti zaidi ya 90% ni matumizi ya kawaida alafu watu wazima wanakenua kama Tarzmania?
chief bajeti yetu ya TZ.budget ipi hiyo ya tanzania au ya Kenya? Be specific!
Ukilinganisha na ya Kunyaland nadhani upeo wako ni mdogo sana, ngoja nikuache!chief bajeti yetu ya TZ.
masikini it seems kuna changamoto ulizipitia utotoni na haya mautopolo unayofanya ndiyo yanakupa relief.Ukilinganisha na ya Kunyaland nadhani upeo wako ni mdogo sana, ngoja nikuache!
State budget haipatikani kwenye federal government website. Mpumbavu wewe.nimekupa link na nikataka mnionyeshe hiyo state budget kwamba ipo tofauti na federal budget!
haya onyesha
Ficha your ignorance.
A big budget doesn't necessarily mean you are richer or more developed.
Nigeria's GDP is five times that of Kenya and y'all have the same budget size.
Kenya's development expenditure (the most important part of the budget) is 6bil$. Tanzania's is 6bil$.
The rest is debt servicing and payroll (usually this is the indicator of how big/corrupt is the government).
CFS (debt servicing which is mainly debt rollover) is 12bn$ for Kenya vs 4bn$ for Tanzania.
Basically that budget is for payroll and debt rollover (85%), while Tanzania spends 40% in development projects.
You stupid Kenyans, what is the benefit of having a big budget which is half donor funded? Come to Tanzania to learn!
Hahahahahaaaaa. Sio vibaya kuota.By the time pipeline ya Uganda inakamilika na tourism ina rebound back to normacy i see our budget getting to $20 bln hapo sija-factor ujenzi wa $30 bln LNG!
Budget ya mkopo wa $9 bln and 58% allocated for debts repayment sio? Nigeria wana budget kama ya Kenya ila 100% self financed!
Ficha your ignorance.
A big budget doesn't necessarily mean you are richer or more developed.
Nigeria's GDP is five times that of Kenya and y'all have the same budget size.
Kenya's development expenditure (the most important part of the budget) is 6bil$. Tanzania's is 6bil$.
The rest is debt servicing and payroll (usually this is the indicator of how big/corrupt is the government).
CFS (debt servicing which is mainly debt rollover) is 12bn$ for Kenya vs 4bn$ for Tanzania.
Basically that budget is for payroll and debt rollover (85%), while Tanzania spends 40% in development projects.
Our budget is actually not half donor funded. It has been less than 10% donor funded since Kibaki came to power. Right now the amount of donor funding for 2021/22 buget is less than 5%. Ukiona sijajibu huyo jamaa ni juu his comment was so irrational sikujua how to respond to him.Kenya - big budget, half donor funded.
Tanzania - small budget, half donor funded.
Sorry, we have nothing to learn from Tanzania.
Huyo neophyte Kobello amekuelewesha nini? Ama amekulewesha? Kobello mtu ambaye hata hajui kwamba hio debt repayment ya Kenya ni kwa ajili ya kulipia deni iliyotumika kujenga barabara, power generation plants, power transmission lines, na kadhalika. Deni sio mbaya ikiwa inatumika kwenye maendeleo. Mfunze huyo Mlazy mwenzako kwamba deni pia inaweza kutumika kama kichocheo cha maendeleoShida tunatumia sana knowledge za vijiwen kuchambua mamb ya msing.. shukran kwako kwa kutuelewesha