waziri wa fedha muda mfupi uliopita amekubaliana na hoja ya Dr,slaa na wabunge wa upinzani kuwa ni kweli vitabu alivyowasilisha vya mapato vimekosewa na hivyo watawasilisha vitabu vingine.
Kwa mujibu wa taarifa zake ni kuwa amewapongeza wabunge wa upinzani kwa kuwa watu makini na wanaosoma na hivyo kuweza kuiamsha serikali.
Dkt. Slaa alitaja dosari nyingine ni kuwapo kwa kitu kilichoitwa Tanzania Habours Corporation na kuhoji ni kitu gani na kwamba kama Serikali haijui majina ya taasisi zake ni hatari.
Amedai kuwa vitabu hivyo vya matumizi na mapato sio sahihi kwani viliweza kuandaliwa mwezi mei.
Kesho asubuhi atatoa vitabu vingine kwa ajili ya kuviwasilisha .
Swali la kujiuliza ni je? wabunge walikua wanajadili kitu gani kwa wiki nzima?
kama kesho atawasilisha vitabu vingine je?wabunge wataweza kupewa muda wa kuanza kujadili upya bajeti?kwani walikua wanajadili kitu ambacho ni uongo.

Walikuwa wanaulizana ni mganga gani anaweza kutoa ulozi bungeni na kama maji marefu bado yupo au laSwali la kujiuliza ni je? wabunge walikua wanajadili kitu gani kwa wiki nzima?
Mkullo kasema pia kuwa wabunge wa upinzani ni makini na wanasoma ,je?wabunge wa CCM sio makini?
Kesho asubuhi atawasilisha vitabu vingine, je?hili ni suluhisho?
Tafsiri ya hili jambo ni nini?
Ni kuanguka kwa serikali na bajet yake? ni kuwa walikuwa wanafanya kazi kwa mazoea?
Je?wale wabunge waliokuwa wanaiunga mkono asilimia mia kwa mia wataendelea kusema kitu gani?
Wabunge waliowakebehi wapinzani wataweka wapi nyuso zao?