Bajeti ya Serikali mwaka 2025/26 Itakuwa Trilioni 55.03. Sawa na ongezeko la Trilioni 20 Ndani ya miaka 4*1/2 ya Rais Samia.

Siyo jambo la kufurahia.hii inamaanisha walalahoi wajiandae kukamuliwa kama ng'ombe.hakuna biashara itakayoachwa salama .mama nitilie,machinga,boda nk wote itawapasa kulipa kodi ili malengo yatimie
 
Ongezeko linguine, sio ongezeko uhalisia Bali kunatikana na kushuka Kwa thamani Kwa pesa yetu na mapato ya ziada ya Kodi ya malengo kupitia umeme, na uzalishaji wa mgodi wa JNHEP
 
Ongezeko linguine, sio ongezeko uhalisia Bali kunatikana na kushuka Kwa thamani Kwa pesa yetu na mapato ya ziada ya Kodi ya malengo kupitia umeme, na uzalishaji wa mgodi wa JNHEP
Hapa thamani ya Shilingi imepingua? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DB1uxVVJEGk/?igsh=czU0NWNpazFpMXJz
Thamani ya Shilingi ikishuka inazuia miradi kutekelezwa? Haters mnatapagapa sana ,Kwa Samia mtaumbuka sana mwaka huu πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DBwFl-ToiRV/?igsh=cmFpMnd5aTBiY2do
 
Zilongwa mbali zitendwa mbali !
Sisi wa hapa Mwanarumango tunapendaga kusema hivyo !

Ila namuunga mkono Mama πŸ’― πŸ™ŒπŸ‘ πŸ‘ 2025 for Presidency πŸ‘
 
According to your wishes. Ungekuwa unajua dy/dx usingeandika hivyo. Mwigulu ni mchumi nguli mpaka maprof wa uchumi wanamuogopa. Si unaona tangu ateuliwe kuwa waziri wa uchumi mpaka lipumba kaufyata
Daaah... Jamaa kanijineemesha sana kwa sasa hadi watoto wake wamekuwa kama mandondocha!
 
Kwa makusanyo yapiπŸ˜‚ . Hizi budget ni ujinga jinga tu na uchawa pesa zitakazo toka hazitazidi 30% kama kawaida yao. Na mikataba ya sirisiri
 
Mna copy na paste uongo uongo kama watoto. Tafuta budget waliotoa 80% ya budget kwa miaka 5 iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…