Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,181
- 1,594
Nilijua zote tunazo mkononi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Tanzania’s next budget to rise to about $20 billionhiyo ni wish tu. Kimsingi na kwa uhalisia bajeti yetu kwa vyanzo tulivyo navyo kwa sasa haitakiwili izdi Tri. 25. Huko kwingine kote ni siasa za kupata kura maana hata bajeti zilizopita hatujawahi kuvuka nusu ya bajeti ktk makusanyo.
Serikali haiendeshi mambo yake kama mtu binafsi Kwa sababu za kiuchumiNilijua zote tunazo mkononi
Bado hujasema Hadi useme 🤣Tanzania’s next budget to rise to about $20 billionSambaza Shida Hangaisha kwenye makaratasi,lete bajeti ya Zaa NZI bar tulinganishe kwa uwiano na idadi ya watu ee chura kiziwi.
Waziri wa Fedha Dk.Mwigulu Nchemba amewasilisha rasimu ya Mpango na Muongozo wa maandalizi na mapendekezo ya Bajeti ya serikali Kwa mwaka Mpya wa Fedha yaani 2025/2026.
Waziri Mwigulu amesema Serikali inapanga kutumia zaidi ya Shilingi Trilioni 55 kugharamia Uendeshaji wa Serikali.
Kati ya kiasi hicho Shilingi Trilioni 16 ni pesa za mikopo na misaada.
Trilioni 15 ni Mikopo ya kibiashara na riba nafuu
Shilingi Trilioni 1 ni misaada ya Wahisani
Na Shilingi Trilioni 40 ni Mapato ya ndani kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo Kodi, taasisi na Serikali za Mitaa.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DB3FhlvsFY7/?igsh=MWM2a2JuZDIyODl2dw==
My Take
1.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 20 Ndani ya miaka 4 na nusu ya Rais Samia.
2.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 6 kulinganisha na Bajeti inayoendelea na utekelezaji Sasa.
3.Bajeti hiyo ni karibu mara 2 ya Bajeti ya mwisho ya awamu ya 5 ya mwaka 2020/2021.
Mpaka hapo Samia hana Mpinzani kwenye suala zima la delivery,kukuza Uchumi,kukuza biashara na Ustawi wa Wananchi.
View: https://www.instagram.com/p/DB3WbLEPJ-s/?igsh=MXFrbnI1MWVvbTYwaQ==
Pia soma Miaka 4 ya Rais Samia: Bajeti yaongezeka kwa shilingi Trilioni 13, mapato ya kodi za TRA yaongezeka kwa Trilioni 8
Kuna Bajeti haijawahi kuwa na mikopo Tangu Tanganyika kuundwa?Hakuna mikopo kwenye hiyo budget???
Magu alisema kwenye budget yake hakuna mikopo.Kuna Bajeti haijawahi kuwa na mikopo Tangu Tanganyika kuundwa?
Taahira wewe unadhani Kila unachoambiwa ndio uhalisia? Unakuwa kama mwanamke wa kuamini porojo?Magu alisema kwenye budget yake hakuna mikopo.
Pesa zote ni makusanyo ya ndani na ni "Cash "
Haaaaa haaaaa haya bhana.Taahira wewe unadhani Kila unachoambiwa ndio uhalisia? Unakuwa kama mwanamke wa kuamini porojo?
Sio swala la kumsikiliza ni swala la kwenda kusoma components za Bajeti.Haaaaa haaaaa haya bhana.
Kwahiyo tumsikilize raisi au wewe????
Waziri wa Fedha Dk.Mwigulu Nchemba amewasilisha rasimu ya Mpango na Muongozo wa maandalizi na mapendekezo ya Bajeti ya serikali Kwa mwaka Mpya wa Fedha yaani 2025/2026.
Waziri Mwigulu amesema Serikali inapanga kutumia zaidi ya Shilingi Trilioni 55 kugharamia Uendeshaji wa Serikali.
Kati ya kiasi hicho Shilingi Trilioni 16 ni pesa za mikopo na misaada.
Trilioni 15 ni Mikopo ya kibiashara na riba nafuu
Shilingi Trilioni 1 ni misaada ya Wahisani
Na Shilingi Trilioni 40 ni Mapato ya ndani kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo Kodi, taasisi na Serikali za Mitaa.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DB3FhlvsFY7/?igsh=MWM2a2JuZDIyODl2dw==
My Take
1.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 20 Ndani ya miaka 4 na nusu ya Rais Samia.
2.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 6 kulinganisha na Bajeti inayoendelea na utekelezaji Sasa.
3.Bajeti hiyo ni karibu mara 2 ya Bajeti ya mwisho ya awamu ya 5 ya mwaka 2020/2021.
Mpaka hapo Samia hana Mpinzani kwenye suala zima la delivery,kukuza Uchumi,kukuza biashara na Ustawi wa Wananchi.
View: https://www.instagram.com/p/DB3WbLEPJ-s/?igsh=MXFrbnI1MWVvbTYwaQ==
Pia soma Miaka 4 ya Rais Samia: Bajeti yaongezeka kwa shilingi Trilioni 13, mapato ya kodi za TRA yaongezeka kwa Trilioni 8
Wakati huo huo Kenya wanatarajia kutumia Trilioni 86 mwaka 2025/26, tofauti ya Shilingi Trilioni 11 na Tanzania.
View: https://x.com/ReutersAfrica/status/1889414142454309329?t=grlPP_iJ8l3Qq2f0siCOTw&s=19
Zanzibar nayo inatarajia kuwa na ongezeko kubwa la Bajeti Kwa 31% 👇👇
View: https://x.com/dailynewstz/status/1894986187296907389?t=y9zBu0ytTvOj6F2BSoTA4g&s=19
Dogo ni dad YakoDogo bajeti Ya Tz Mwaka 2024-25 ni T 50?
Waziri wa Fedha Dk.Mwigulu Nchemba amewasilisha rasimu ya Mpango na Muongozo wa maandalizi na mapendekezo ya Bajeti ya serikali Kwa mwaka Mpya wa Fedha yaani 2025/2026.
Waziri Mwigulu amesema Serikali inapanga kutumia zaidi ya Shilingi Trilioni 55 kugharamia Uendeshaji wa Serikali.
Kati ya kiasi hicho Shilingi Trilioni 16 ni pesa za mikopo na misaada.
Trilioni 15 ni Mikopo ya kibiashara na riba nafuu
Shilingi Trilioni 1 ni misaada ya Wahisani
Na Shilingi Trilioni 40 ni Mapato ya ndani kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo Kodi, taasisi na Serikali za Mitaa.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DB3FhlvsFY7/?igsh=MWM2a2JuZDIyODl2dw==
My Take
1.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 20 Ndani ya miaka 4 na nusu ya Rais Samia.
2.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 5 kulinganisha na Bajeti inayoendelea na utekelezaji Sasa ya Trilioni 50.2
3.Bajeti hiyo ni karibu mara 2 ya Bajeti ya mwisho ya awamu ya 5 ya mwaka 2020/2021.
Mpaka hapo Samia hana Mpinzani kwenye suala zima la delivery,kukuza Uchumi,kukuza biashara na Ustawi wa Wananchi.
View: https://www.instagram.com/p/DB3WbLEPJ-s/?igsh=MXFrbnI1MWVvbTYwaQ==
Pia soma Miaka 4 ya Rais Samia: Bajeti yaongezeka kwa shilingi Trilioni 13, mapato ya kodi za TRA yaongezeka kwa Trilioni 8
Wakati huo huo Kenya wanatarajia kutumia Trilioni 86 mwaka 2025/26, tofauti ya Shilingi Trilioni 11 na Tanzania.
View: https://x.com/ReutersAfrica/status/1889414142454309329?t=grlPP_iJ8l3Qq2f0siCOTw&s=19
Hakuna utegemezi.Sijui uchumi,ila tunaangalia kiasi cha utegemezi kujua kujua au kusinyaa kwa uchumi.,utegemezi umepingua kwa asilimia ngapi ukilinganisha na awamu uliyolinganisha?
Bajeti hewa Huwa inaongezwa? 😂😂👇👇Bajeti hewa.