Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Bajeti hewa Huwa inaongezwa? ππππ
View: https://www.instagram.com/reel/DGDgidTOSOm/?igsh=MWVpdTU4OWp6bzNsNA==
Ana hiyo hela mkononi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bajeti hewa Huwa inaongezwa? ππππ
View: https://www.instagram.com/reel/DGDgidTOSOm/?igsh=MWVpdTU4OWp6bzNsNA==
Waziri wa Fedha Dk.Mwigulu Nchemba amewasilisha rasimu ya Mpango na Muongozo wa maandalizi na mapendekezo ya Bajeti ya serikali Kwa mwaka Mpya wa Fedha yaani 2025/2026.
Waziri Mwigulu amesema Serikali inapanga kutumia zaidi ya Shilingi Trilioni 55 kugharamia Uendeshaji wa Serikali.
Kati ya kiasi hicho Shilingi Trilioni 16 ni pesa za mikopo na misaada.
Trilioni 15 ni Mikopo ya kibiashara na riba nafuu
Shilingi Trilioni 1 ni misaada ya Wahisani
Na Shilingi Trilioni 40 ni Mapato ya ndani kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo Kodi, taasisi na Serikali za Mitaa.ππ
View: https://www.instagram.com/p/DB3FhlvsFY7/?igsh=MWM2a2JuZDIyODl2dw==
My Take
1.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 20 Ndani ya miaka 4 na nusu ya Rais Samia.
2.Bajeti hiyo ni sawa na ongezeko la Shilingi Trilioni 5 kulinganisha na Bajeti inayoendelea na utekelezaji Sasa ya Trilioni 50.2
3.Bajeti hiyo ni karibu mara 2 ya Bajeti ya mwisho ya awamu ya 5 ya mwaka 2020/2021.
Mpaka hapo Samia hana Mpinzani kwenye suala zima la delivery,kukuza Uchumi,kukuza biashara na Ustawi wa Wananchi.
View: https://www.instagram.com/p/DB3WbLEPJ-s/?igsh=MXFrbnI1MWVvbTYwaQ==
Pia soma Miaka 4 ya Rais Samia: Bajeti yaongezeka kwa shilingi Trilioni 13, mapato ya kodi za TRA yaongezeka kwa Trilioni 8
Wakati huo huo Kenya wanatarajia kutumia Trilioni 86 mwaka 2025/26, tofauti ya Shilingi Trilioni 11 na Tanzania.
View: https://x.com/ReutersAfrica/status/1889414142454309329?t=grlPP_iJ8l3Qq2f0siCOTw&s=19
Huu ujinga nani Huwa anawamezesha? Onyesha huko kutegemea sana mikopo ya Nje tuone.U
Umesahau kuwa bajeti hiyo imeegemea sana katika mikopo ya nje basi ni vyema hata tukiwa na badget ya tilion 20 kama Burundi ila iwe pesa ya ndani
Kwa hiyo angeleta pendekezo la nyongeza ya Bajeti Bungeni kama hana hela? ππAna hiyo hela mkononi?
Ni mara ngapi bajet inapita na hiyo hela haipo? Au ww ni mgeni wa bajet kuwa kubwa na pesa hazifiki kulingana na bajet?Kwa hiyo angeleta pendekezo la nyongeza ya Bajeti Bungeni kama hana hela? ππ
Ni mara ngapi? Onyesha au Taja kq ushahidi tuoneNi mara ngapi bajet inapita na hiyo hela haipo? Au ww ni mgeni wa bajet kuwa kubwa na pesa hazifiki kulingana na bajet?
Ingia kwenye hansard za bunge uone wabunge wanavyojiliza kuhusu ahadi za bajeti, na ikapita lakini fedha hazikufika, ama zilipelekwa finyu. Na kwa kukusaidia nitajie bajeti ya mwaka wowote unaoujua ww ambayo ilitekelezwa kwa 100%Ni mara ngapi? Onyesha au Taja kq ushahidi tuone
Hansard zipi nimeambatanisha hapo budget implementation ya over 97%Ingia kwenye hansard za bunge uone wabunge wanavyojiliza kuhusu ahadi za bajeti, na ikapita lakini fedha hazikufika, ama zilipelekwa finyu. Na kwa kukusaidia nitajie bajeti ya mwaka wowote unaoujua ww ambayo ilitekelezwa kwa 100%
Peleka uduwanzi mbali. Unanilitea mimi cooked data na kila siku wabunge wanajiliza kama wanabikiriwa.Hansard zipi nimeambatanisha hapo budget implementation ya over 97%
Wewe ni punguani ndio maana unabwabwaja bila takwimu.Peleka uduwanzi mbali. Unanilitea mimi cooked data na kila siku wabunge wanajiliza kama wanabikiriwa.