Bajeti ya Serikali mwaka 2025/26 Itakuwa Trilioni 55.03. Sawa na ongezeko la Trilioni 20 Ndani ya miaka 4*1/2 ya Rais Samia.

Hakuna mikopo kwenye hiyo budget???
 
Zanzibar nayo inatarajia kuwa na ongezeko kubwa la Bajeti Kwa 31% πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/dailynewstz/status/1894986187296907389?t=y9zBu0ytTvOj6F2BSoTA4g&s=19
 
Budget ya mwaka huu itajaa ajira za polisi, magari , mabomu na risasi za polisi badala ya ajira za afya ya elimu
 
Bajeti hewa.
 
Sijui uchumi,ila tunaangalia kiasi cha utegemezi kujua kujua au kusinyaa kwa uchumi.,utegemezi umepingua kwa asilimia ngapi ukilinganisha na awamu uliyolinganisha?
 
Sijui uchumi,ila tunaangalia kiasi cha utegemezi kujua kujua au kusinyaa kwa uchumi.,utegemezi umepingua kwa asilimia ngapi ukilinganisha na awamu uliyolinganisha?
Hakuna utegemezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…