Bajeti ya Serikali mwaka 2025/26 Itakuwa Trilioni 55.03. Sawa na ongezeko la Trilioni 20 Ndani ya miaka 4*1/2 ya Rais Samia.

U
Umesahau kuwa bajeti hiyo imeegemea sana katika mikopo ya nje basi ni vyema hata tukiwa na badget ya tilion 20 kama Burundi ila iwe pesa ya ndani
 
U

Umesahau kuwa bajeti hiyo imeegemea sana katika mikopo ya nje basi ni vyema hata tukiwa na badget ya tilion 20 kama Burundi ila iwe pesa ya ndani
Huu ujinga nani Huwa anawamezesha? Onyesha huko kutegemea sana mikopo ya Nje tuone.
 
Kwa hiyo angeleta pendekezo la nyongeza ya Bajeti Bungeni kama hana hela? πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni mara ngapi bajet inapita na hiyo hela haipo? Au ww ni mgeni wa bajet kuwa kubwa na pesa hazifiki kulingana na bajet?
 
Ni mara ngapi bajet inapita na hiyo hela haipo? Au ww ni mgeni wa bajet kuwa kubwa na pesa hazifiki kulingana na bajet?
Ni mara ngapi? Onyesha au Taja kq ushahidi tuone
 
Ni mara ngapi? Onyesha au Taja kq ushahidi tuone
Ingia kwenye hansard za bunge uone wabunge wanavyojiliza kuhusu ahadi za bajeti, na ikapita lakini fedha hazikufika, ama zilipelekwa finyu. Na kwa kukusaidia nitajie bajeti ya mwaka wowote unaoujua ww ambayo ilitekelezwa kwa 100%
 
Hansard zipi nimeambatanisha hapo budget implementation ya over 97%
 
Peleka uduwanzi mbali. Unanilitea mimi cooked data na kila siku wabunge wanajiliza kama wanabikiriwa.
Wewe ni punguani ndio maana unabwabwaja bila takwimu.

Mbona hujaweka ambazo sio cooked πŸ˜‚πŸ˜‚
 
As long as recurrent expenditure is pegged to the biggest cut of the cake, kudos are well in order for more luxury!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…